Recent content by Bethlehem

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa kidato cha nne english language new format 2019

    Hii thread ya ukweli sana, hongera kwake aliyeianzisha!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Sio kweli... January alianza kupost hizi picha baada ya Baraza la mawaziri kutangazwa. Ni ule muda ambao wengi walijua huenda angekuwa waziri mkuu na huenda hata yy aliamini hivyo. Baada ya mambo kuwa tofauti na kujikuta kwenye wizara ya kawaida ndio hizi picha zikaanza kutambaa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?

    Wimbo uliompa ufalme ni darubini kali
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?

    Wakati ule AfandeSele alikuwa juu ya wote! Mimi nilikuwa form 5 nakumbuka kila kitu. Kwnye mtazamo kuna mstari anasema " mimi naogopa sana tunavyotukanana" "Isije huko mbele tukachinjana" Wakati huo alikuwa amechinjwa Steve 2k jamaa akaonekana kama nabii! Afande alikuwa kileleni bhana, watu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Women don't want Men with Big Penises

    Ukikutana na ndogo kuliko ya mumeo unafanyaje?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Women don't want Men with Big Penises

    Hakunaga **** kubwa, ukiiona kubwa ujue lengo lako ilikuwa sio kufanya mapenzi bali kuona unamuumiza au unaingiza mpaka uone inakwama haiendelei tena!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mdude ameuawa?

    Mchyuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuko serious kama huyu ndo mnasema kuwa awe Rais ajaye

    Lissu for change
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watumiaji wa Zuku Tv

    Nikweli kuwa Zuku Tv wamerudisha channel za ndani?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Football live tv Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Tanzania Bara, Getrude Ndibalema ahamia CCM

    Huyu dada alishaondoka na kujiuzulu siku zaidi ya miaka miwili. Alishaonekana akiwa upande wa ccm kasoro kujitangaza tu...bullshit Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Patrick Oita Nyapara: Askari Polisi aliyemtandika mpenzi wake Risasi 47

    Sisi wavamizi wa mali za watu tungepatia wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimemwona mtu anachomolewa simu, nimwambie?

    Ilikuwa mwaka 2008 niko chuo. Huwa nina kawaida ya kwenda kuangalia mpira vibandani na siku hiyo nikawa huko pia. Mfukoni nilikuwa nimeweka simu mpya haina hata siku tatu aina ya Samsung yenye Camera. Mechi ya Arsenal na Chelsea ilikuwa mapumziko sasa nikawa nachezea simu yangu kama kawa na...
Back
Top Bottom