kolongotitu
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 222
- 157
Mwenye format mpya ya geography
Watu kama ww wenye utu na uelewa walikuwepo zamani jf.Siku hizi ni majibu mabaya tu.Ubarikiwekwa mfano mkamjibu tuu anaipateje au kumsaidia na kumpa anachotaka mnapungua nini? tatizo wana Jf WENGI HUJIONA WASOMI NA WAKUBWA. je kama yeye ni mwalimu au mtu mzima anae rudia mtiani wa kidato cha nne? hili ni jukwaa la ELIMU anauhuru wa kuuliza. kuna huyu kajiona anajua anasema nenda necta, mambo mengine bora upite kimya tuu, kwahiyo necta ndo wametoa format?
Ndio maana Trump anatutukana sana " INGEKUWA RAHISI KUFIKIRI TUSINGETUMIA HISIA KUJAJI" yeye kaomba baada kumsaidia mnaanza kumdisi hili Ni jukwaa kubwa Kuna watu wa Aina tofauti tofauti humu.kwa mfano mkamjibu tuu anaipateje au kumsaidia na kumpa anachotaka mnapungua nini? tatizo wana Jf WENGI HUJIONA WASOMI NA WAKUBWA. je kama yeye ni mwalimu au mtu mzima anae rudia mtiani wa kidato cha nne? hili ni jukwaa la ELIMU anauhuru wa kuuliza. kuna huyu kajiona anajua anasema nenda necta, mambo mengine bora upite kimya tuu, kwahiyo necta ndo wametoa format?
Kaka huna ya civics na bios?Anaejua anielekeze jinsi ya kuiweka
Kaka hongera kwa kuja na wazo zuri la kitaaluma ila nina ombi kwako kama utaona sahihi fikiria kubadili title ya uzi ibebe dhima ya kubadilishana uzoefu na mitihan mbalimbali toka sehemu mbalimbali yawezakuwa joint examinations kama Tahosa a na mingne mingi,nahisi itatusaidia wengiHabari ya majukumu dada na kaka zangu. Samahani Naombeni mwenye mtihani wa English language form four uliotungwa kwa kuzingatia format mpya (2019) anisaidie. Natanguliza shukran
Literature in English View attachment LITERATURE IN ENGLISH.pdfNmeomba wadau pepa ya literature format mpya mwenye nayo anisaidie