Nimemwona mtu anachomolewa simu, nimwambie?

mkuu polepole tafadhari unaweza kukuta huyu mwamba ni dingi yako shauri yako
Mzee wangu hawezi andika utumbo kama huooo[emoji48][emoji48][emoji48] Sasa umeshindwa kumsaidia mdada wa watu akaibiwa simu yake si akaushe tu kimyaa sio kuanza kutuandikia utumbo wake hapa.. Hajui kuna siku huyo dada atakuwa ni mama yake au dada yake kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imewahi kutokea tukio la namna hii mbele yangu.

Nilichokifanya nilimfata mwizi moja kwa moja nikamla kabali matata, nikamwambia leta hiyo simu, wala hakubisha akanikabidhi, wakati huo mwenye simu anaangalia tukio hata haelewi kwamba ndiyo ameibiwa. Nikamwita, nikamkabidhi simu yake nikasepa zangu.. Siyo busara kunyamaza ukiona mwenzako anaibiwa

Imeisha hiyo mkuu nimekuelewa 5/5

Sent using Ubuntu
 
Akili kubwa mkuu, pia kwakuwa nilikuwa nashuka mitaa ya azania nilighairi nikaingia hadi nyuki kule ndani, ili nikamsikilize konda yeye kwake hili limekaaje.
Majibu yake yalikuwa ni hivi namnukuu "ni kweli hizi scenario ziko nyingi na kwa upande mwingine ni sahihi kumsaidia ila si kwa kumwambia bali kwa kushuka physically na kumapproach yule mwizi, japo kuna mawili angekuona unany'anyuka kutoka kwa kuwa ulikaa nyuma na alinotice umemuona, angejikataa na unajua hawa wakishapiga kuna kamisheni pia inapelekwa kwa wazee wa kazi pale so in short iko hvo ila next time kama uko position nzuri mface tu huyo mwizi atakupa make ni waoga sana hawa mateja na hawataki bugdha sana, So nadhani ni jambo la heri pia kupata ufahamu wa mambo madogo madogo haya kwa sie tunao kumbana na haya matukio kila mara, coz sie makonda pia huwa hatuwasogelei wanatuibia pia sana haya makusanyo yetu hvo. Mwisho wa kunukuu.

Sent using Ubuntu
 
Kaka zetu mbona mnatuangusha sana.angekuibia wewe ungekaa kimya.sema umeogopa kupigwa na teja.mkiitwa wanaume wa dar mnachukia.hii stori labda iishie dar .wa mikoani wakiiona ndio utapata majibu sahihi.wewe ndio mmojawao wanaowaponza wengine kuitwa wanaume wa dar.kwahiyo unatetea wizi.daaah wala hukupaswa kutuuliza majibu unayo
Habari za mchana huu wana jamvi, mida hii kama dakika 20 hv zilizopita nikiwanatokea maeneo ya mlimani city katika public transport, daladala imesimama pale mwenge kama dakika 10 hv. So Kuna mdada alikuwa anakuijongelea gari ili apande akiwa anajiuliza apande gari gani huku simu akiwa ameiweka katika mashavu ya mfuko wa begi lake la mgongoni akatokea kupishana na huyo baharia. Huyo baharia alikuwa akipiga debe pale na akawa fasta ameiona ile simu katika begi lile so akaichukua kiulaini sana akaitia mfuko wa nyuma.

Baada ya kuchukua hiyo simu akaendelea kupiga debe baharia huyo ila nimemwona vividly kabisa with my naked eyes, pia kuna mdada alikuwa anakuja katika gari akaona hilo tukio so nimejiuliza sana nimwambie yule mdada or what. Baada ya kuassess faster pale nikaona impact ya maisha ya huyo baharia yatakuwa matatani na pia yule mdada kwann akaweke simu open mazingira kama yale pale, na baada ya kumuona yule mdada aliyeshuhudia pia tukio hajasema chochote, nami ikabidi tu nikae kimya japo roho imeniuma kwekweli ndo maana nikaja kwa wanajamvi humu.

Tupeane ushauri kwa sabb najua wengi wame experience hii kitu je inatakiwa tureact vipi kiasi kwamba hatuwezi leta madhara kwa pande zote mbili.

Sent using Ubuntu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilinitokea wakati flani nikiwa ndo nimepokea mshahara wa kwanza miaka hiyo nikasema nifunge safari nikamsalimie Mdogo wangu shule naye awe wa kwanza kutumia matunda ya Kaka yake.

Niliweka laki mbili kwenye wallet, nimekaa na headphone masikioni Sina habari
Jamaa aliyekuwa amekaa siti ya pembeni yangu akaomba nimpishe ashuke lakini Cha ajabu akawa analazimisha kupita nyuma yangu, nilipomuachia nafasi kwa mbele akasema hawezi kupita hapo atanikanyaga, so nikaona ananipotezea muda wa kusikiliza ngoma zangu kwenye Simu mpya ya Siemens.
Basi jamaa kashuka ile gari imeondoka eti jamaa aliyekaa siti ya nyuma yangu ananiambia yule niliyempisha ashuke ameniibia wallet. Nilikaa kimya kwa dakika tatu niliponyanyua uso nilimuuliza swali moja, hivi wewe Ni mzima kweli au amechanganyikiwa akabaki ananishangaa eti yeye kaamua kuwa msamaria mwema kunipa taarifa. Nilitaka nimzabe Kofi nikaona niachane naye tu ni ushoga wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu ni kumfata na kumwambia rudisha simu kabla sijakuitia mwizi, angerudisha na we ungemwita huyo dada na kumpa simu yake. Tatizo hapa bongo watu wana hasira sana unaweza kumwitia mwizi, akafa mbele ya macho yako kwa kipigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa mwaka 2008 niko chuo.

Huwa nina kawaida ya kwenda kuangalia mpira vibandani na siku hiyo nikawa huko pia.

Mfukoni nilikuwa nimeweka simu mpya haina hata siku tatu aina ya Samsung yenye Camera.

Mechi ya Arsenal na Chelsea ilikuwa mapumziko sasa nikawa nachezea simu yangu kama kawa na mara kidogo mechi ikaanza nikairudishia mfukoni.

Ndugu zangu miaka hiyo ukiwa na simu ya kamera sio mchezo

Sasa kwakuwa ile modo niliyokuwa nimeivaa baada ya kuinunua mitaa ya Karume pale Ilala ilikuwa na mifuko mifupi kika wakati nikawa nagusa kuona je ipo?

Asalaaaaleeeh...Haikuwepo!
Niliusikia mwili ukiwa wa Baridi.

Hapo hapo nikawashtua washkaji kuwa ndani ya dakika hata mbili hazifiki nimeibiwa simu.
Jamaa wakasema mwizi yuko humuhumu, tusachiane!

Bahati nzuri kulikuwa na askari polisi wawili mule ndani na yunifomu zao tukawaambia wakafunga geti na kuanza msako.
HOLA! Hakikupatikana kitu.

Wiki moja mbele ikatoka hela ya Field!

Nikaichukua yote nakumbuka ilikuwa laki tatu na elfu hamsini, nikaenda Mlimank City nikavuta kitu cha Nokia.
Kina Infrared, bluetooth, Camera, kinazama internet na mavibwaga yose yamo!

Nikarudi kwenye ulimwengu Mpya.

Wiki moja mbele nikapewa kazi ya kwenda K'koo nikamtafutie dogo nguo ikabidi niende huko kwani nilijua yale masalia namimi ntapata hata boksa!

Kama kawaida tukazunguka mitaa yenye maduka ya nguo, nikamnunulia yale aliyotaka namimi humo nikapata modo zangu mbili za kizilipendwa na earphone tukawa yunarudi na mifuko yetu.

Ghafla nikashikwa bega "Dogo mbona umenikanyaga"
Kwakuwa nilikuwa naujua Muji na tabia zake nikajua huyo ni mwizi.
Nikamgeukia na kumtusi vizuri tu "kumamamamamako ....kamuibie mama'ko"

Kumbe hata lile ni kosa kugeuka na kutukana.
Kilichonitia wasiwasi ni yule jamaa kutojali matusi yangu na kuwa kama hajasikia na anaendelea na mishe zake, nikapata wasiwasi na kujisachi!
Hakuna simu!

Nilipagawa! Ajabu sasa hata yule niliyemtukana simuoni!

Nikamgeukja dogo... " Aisee nimeibiwa simu"
Dogo akasema
'aaah bro, mbona mimi sijaona'
Sikumjibu niliona anazingua, nikawa naangaza macho huku na kule na hapo nikatamani nimzabe dogo kofi japi ni dogo ambaye nampenda mno hata leo japo ni mtu mzima sasa!

" Bro tuondoke huwezi kuipata tusije tukaibiwa na hii mifuko"

Moyoni nikawaza kwa hasira...yani dogo anawaza tu hii minguo yake hajali kuhusu simu yangu yenye wiki mbili...ringing tone nimeweka wimbo wa 2face "desire"! Dogo hajali!

Nikamwambia wewe tangulia mimi nasimama hapa.

Nilisema hivyo kwasababu niliona kuna jamaa ametandaza sendo za kike chini ananiangalia kama anataka kuniambia kitu na kweli hisia zangu zilikuwa sahihi...akanifwata!

"Aliyekuibia simu yako yuleeeeeee aliyevaa jaketi jekundu"

Jamaa alivyoniambia vile haraka sana kumbukumbu zikanijia kuwa ile binadamu iliwahi kupita mbele yangu wakati yule bwana alivyodai nimemkanyaga.

Nilimrushia dogo mamifuko yake nikaanza kuruka vitu vya watu huku nikipangua watu na kuvuka mitaa, nilikuwa nikiwakumba watu na hata wengine walidondoka huku usoni nimevimba kama nina ugonjwa wa "ntumbu".

Nilimfikia yule jamaa akiwa hana hiki wala kile anazunguka tu nikamdaka lile koti japo alikuwa mkubwa mno kimwili kuliko mimi lakini nilidhamiria kufia kwenye koromeo lake!

"Nipe simu yangu maramoja la sivyo utajuta"

Yule jamaa alipigwa na butwaa akawa kama ananikagua chini mpaka juu....

"Nipe!" Nilipaza sauti kwa jazba nikamuona ananywea kisha akatia mkono mfukoni na kutoka na kitambaa kikubwa kilichofungwa huku ndani yake kuna simh lundo!

"Chukua ya kwako"
Haraka sana nikaiokota na kuminya kidogo nikaona picha yangu juu ya kioo nikamuachia na kuondoka zangu.

Narudi namkuta dogo anatetemeka nikamuonyesha simu, hakuamini na hata yule jamaa aliyenionyesha hakujua kuwa nitarudi nayo.

Nikatia mkono mfukoni nikatoka na buku tano nikampa yule jamaa ila hakuipokea haraka akawa anatazama kwanza kila upande ndio akaipokea tukaondoka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh huo ndio uanaume mzee baba pia hongera kwa kujipigania maana ungekuwa goi goi ungeambulia patupu

Umefikiria ukaona upost ujinga huo
Au una jinsia mbili
Ma.... ku..., zi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetumia Uanaume wako vzur leo ungeokoa maisha ya mpiga.debe na kupata girfriend mpya
 
Ilinitokea wakati flani nikiwa ndo nimepokea mshahara wa kwanza miaka hiyo nikasema nifunge safari nikamsalimie Mdogo wangu shule naye awe wa kwanza kutumia matunda ya Kaka yake.

Niliweka laki mbili kwenye wallet, nimekaa na headphone masikioni Sina habari
Jamaa aliyekuwa amekaa siti ya pembeni yangu akaomba nimpishe ashuke lakini Cha ajabu akawa analazimisha kupita nyuma yangu, nilipomuachia nafasi kwa mbele akasema hawezi kupita hapo atanikanyaga, so nikaona ananipotezea muda wa kusikiliza ngoma zangu kwenye Simu mpya ya Siemens.
Basi jamaa kashuka ile gari imeondoka eti jamaa aliyekaa siti ya nyuma yangu ananiambia yule niliyempisha ashuke ameniibia wallet. Nilikaa kimya kwa dakika tatu niliponyanyua uso nilimuuliza swali moja, hivi wewe Ni mzima kweli au amechanganyikiwa akabaki ananishangaa eti yeye kaamua kuwa msamaria mwema kunipa taarifa. Nilitaka nimzabe Kofi nikaona niachane naye tu ni ushoga wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ai ungeshuka fasta umfatee au???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom