Recent content by Bethania

  1. Bethania

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Acha kuwa na akili mgando wewe ingia kwenye kilimo wewe anza kidogo kidogo sasa hivi kilimo ndio mpango mzima ,bado kuna maeneo unapata ardhi kwa bei kidogo unaanza nahiyo utapata mafanikio
  2. Bethania

    SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Ushuhuda wako Dr Amina umenitoa machozi barikiwa sana
  3. Bethania

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nahitaji refillable cartridges for epson stylus sx435w
  4. Bethania

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nahitaji refillable cartridges for epson stylus sx435w
  5. Bethania

    Nifanyaje kuachana na mwanamke aliye nipenda sana

    Wewe ni mwanaume muhuni umesha ona mwanamke mwingine na tamaa inakusumbua kama umempata mtu amewekaza kwako huyo ndio mtu utakuja kujuta wewe naona unalitafuta
  6. Bethania

    Natafuta kazi yoyote. Nimesomea mifugo na kilimo

    Ndg utapoteza muda kutafuta kazi ,kitu unachotakiwa kufanya tafuta sehemu tafuta wafugaji na wakulima jitangaze toa ushauri kama wataomba uwatibie mifugo yao tibu kama ulivyo jifunza ,anzafikra za kujiajili kwa sekta yako hiyo inawezekana kabisa chukua hatua ya kujiajili ndg pamoja na ugumu wote...
  7. Bethania

    Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

    Sio kanisa la TAG HILO UWE NA UHAKIKA NA UNACHOKIANDIKA
  8. Bethania

    Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Endelea kujifariji,umalaya huo yatakutokea puani
  9. Bethania

    Nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha

    Huyo ni pepo nenda ukawatafute waliokoka wakuombee kwa jina la Yesu utapona
  10. Bethania

    Alama hii ya Tahadhari barabarani inamaanisha nini?

    Kuna watu wenye matatizo mtindio wa ubongo (tahira)
  11. Bethania

    Vipindi vya dini katika shule za msingi na Sekondari za Serikali vifutwe

    Huo ni mchango wa mtu ambae hana dini sizani kama huwa unaenda kumwabudu Muumba wako wewe bila shaka ni muumini wa vit vilefu wewe
  12. Bethania

    Turudi kwenye TTCL yetu tuikuze na tuiboreshe iwe fimbo kwa mitandao ya kigeni

    TTCL Nawao wanatuzingua Afisa Masoko kazi imemshinda hajui gharama zinapokuwa chini wateja wanaongezeka na zinapokuwa kubwa wanakimbia halafu TTCL ni mama wemgine ni watoto asipambane nao watu tutakuja tu gharama zikipungua
  13. Bethania

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nakupigia mbona hupatikani siku hizi
  14. Bethania

    Maini ya kitimoto yanafaa kwa lishe ya mtoto?

    Hayafai kabisa ndani ya maini wanyama kuna minyoo usijaribu kabisa hata wewe kuyala
Back
Top Bottom