Nifanyaje kuachana na mwanamke aliye nipenda sana

Hiyo sababu ya "wao wanakula hela zetu ngapi"
Yaani una judge investment ya mtu kutokana na kundi fulani alilopo?
What if anajiweza na hajawah kuomba hela?
What if ana uwezo kuliko jamaa
hapo nimetumia wingi sababu sisi wanaume ndio tunaongoza kutoa na kuachwa pia, swala la kuivest kwenye mapenzi hakuna, kila mtu anatoa kwa moyo wake kutokana na hisia zake zinavyomtuma, kama kusaidiana kawaida na haiwezi kuwa topic ya mtu kuachwa au kutoachwa
 
Kutumia wingi si kipimo sahihi.
Ni sawa wakuite mwizi jambazi ulieshindikana kwa sababu majambazi wengi ni wanaume.. itakuwa si haki.

Judge mtu kutokana na matendo yake, yeye kama yeye. Si kundi, why? Sababu hilo kundi halikuwepo wakati anajitoa.
 
Sababu zingine ni irrelevant. Yes kuna masuala ya tabia? Je mshkaji ameshajarib kuongea nae? Ameshajarib kumrekebisha au kujirekebisha?
tabia ndio kitu kinabeba mahusiano, kama tabia haziendani hta upendwe vp huwezi elewa thamani ya huo upendo. swala la kumlekebisha au kulekebishwa hilo muulize mwenyew, atakupa na vingine ambavyo hatujui
 
Kutumia wingi si kipimo sahihi.
Ni sawa wakuite mwizi jambazi ulieshindikana kwa sababu majambazi wengi ni wanaume.. itakuwa si haki.

Judge mtu kutokana na matendo yake, yeye kama yeye. Si kundi, why? Sababu hilo kundi halikuwepo wakati anajitoa.
hahah sawa mkuu... but nitatumia wingi kuwagusa na wengine
 
Vitu vyake ulichukua vya Nini ukijua humtaki, mwenzio kajitoa akijua Ni wake 100% afu sahivi unaleta utopolo wako humu.

Ndo ninyi mnachomwaga na gunia la mkaa, pambaf zenu.

Nikivaa viatu vya uyo binti,
nakuona wee Ni mwanaume takataka na hufai kabisa kua kwenye jamii ya wanaume waliostaarabika
Asante sana kwa hii comment
 
Kwaiyo yakibadilika na thamani ya mtu inabadilika?

Hivi wewe ungekua umeinvest kwa mwanamke afu akufanyie vile ungefurahi?
Au ndo shukran ya punda mateke?

Hebu skia,
acha utoto bhana

Be a man,
Usiendeshwa na mihemko na hisia

Ukiwa mwanaume,
Mwanamke wa kweli unapaswa umuangalie kwa jicho la miaka 10, 20, mpaka 50 ijayo.

Ukimtahimini mwanamke kwa chura na chuchu saa 6 utakuja kufeli vibaya mno,
hizo vitu waachie wavulana wa vyuoni uko na sekondari.
Asee we jamaa sina la kusema Mungu akuongezee uhai tu, akubariki sana.
 
Habari za muda huu ndugu zangu

Moja kwa moja acha niende kwenye mada nilikutana na binti mmoja mtandaoni tukaanzisha mahusiano huko baada ya mda kidogo tuliweza kukutana na kuendeleza mahusiano yetu.

Ila kadri muda ulivyozidi kwenda moyo wangu ulianza kutokumpenda tena, ila yeye ananipenda sana na anataka mpaka niongee na wazazi wake ila huwa nina mkwepa kwepa sana.

Nilikuwa naomba ushauri nifanyaje niweze kuachana nae kwa amani bila ugomvi kwamaana ama wekeza vitu vyake vingi sana juu yangu ila mimi simpendi tena

Ushauri hapo ndugu zangu
Wewe ni mwanaume muhuni umesha ona mwanamke mwingine na tamaa inakusumbua kama umempata mtu amewekaza kwako huyo ndio mtu utakuja kujuta wewe naona unalitafuta
 
Kifupi umri ya akili ya mleta bado ni ya mvulana!! Mimi kama mwanamme nakushauri kuwa k zote huwa zinakinai na kuchosha na pia huwa zina poteza mvuto Wake kwa Kila mwanamme!!hata Kama ni k ya sepenga au Beyonce ukiigonga mara nyingi unapoteza mvuto nayo!!LAKINI huwa hatuwaachi wanawake bali tunasitisha mahusiano pale mnapokosana au kufumaniana LAKINI mwanamke anaekupenda na wife material tunaweka ndani hata kama k yake ina maji au imelegea coz hatuoi kwasababu tunavutiwa na dem tunaoa kutokana na umuhimu wa mtu mwenyew e kwenye jamii!!kama ni wife material tunabeba hata kama fangasi k tunatibu tu labda ukimwi ndio tunawaza Sana!!!chukua weka ndani halafu michepuko unaendelea nayo kutibu stress za life!!!sawa kijana!!!ni pm kama vipi!!
 
Kwanza tupe sababu ya wewe kumkinai? je ni tabia zake? amebadilika kimaumbile? au ni nini uli expect kutoka kwake bfr lakini after hukuviona? Na kingine una posema ame invest kwako, unaaminisha ki mapenzi au fedha na mali?
 
Umeshazidiwa akili wewe, akili za mwanamke mwenye uhitaji ni very advanced.

Tafakari kwa umakini
Haha hili nalo neno. I was in the same situationa na ya huyo jamaa, hakika wanawake wakitaka kitu kiwe kitakuwa tu labda uwamue kumuumiza kibandidu (kumchana wazi).
Lakini yanini afikie huko? Atulie, ajifunze kumpenda huku akijua kuwa hiyo ni bahati ya kipekee. Wapo wanaume wanapenda wasipopendwa na wanaumizwa kilasiku, yeye kapendwa alafu anataka kumpiga chini. Ipo siku atamkumbuka na kummiss and it will be too late.
 
Muumize kihisia akome, hawa washenzi wakitupata kwenye 18 zao hakuna rangi utaacha kuona. Usimuonee huruma mwanamke
Kuna kitu kimepungua kichwani katika uwanaume wako. Wewe ndiye unayeamua uhusiano wako uwe wa aina gani, unaposema usimwonee huruma mwanamke unakosea sana. Alafu kumbuka ufanyavyo ipo siku nawe utafanyiwa hivyo hivyo.
Wanaume real hatufikirii kuwaumiza wanawake bali tunatengeneza mazingira ya kuwadhibiti wasivuke mipaka.
 
Maneno ya busara sana mkuu, much respect.

Hawa vijana wanamihemko Sana
 
Kwanza tupe sababu ya wewe kumkinai? je ni tabia zake? amebadilika kimaumbile? au ni nini uli expect kutoka kwake bfr lakini after hukuviona? Na kingine una posema ame invest kwako, unaaminisha ki mapenzi au fedha na mali?
Hawez kua na sababu za msingi kw Sasa,

Labda azitengeneze kwa dharula ya Uzi,

Apo kijana anawashwa washwa tu na MIHEMKO.
 
Back
Top Bottom