Recent content by Besty

  1. Besty

    Naomba Msaada Wenu!

    How To Format Hard Drive Click to the following website bellow, may be u can get some help. Insha'Allah http://wiki.answers.com/Q/How_do_you_format_a_hard_drive http://www.monsterguide.net/how-to-format-a-hard-drive.shtml...
  2. Besty

    Imani ya Ushirikina na Maisha ya Mwananchi

    Hii ni kati ya imani ambayo imeanza kipindi kile ambacho machifu ambao walikuwan wakishirikiana na walowezi (Wazungu)kukamata watumwa, upigaji wa mruzi ilikuwa ni njia mojawapo ya kuwahatarisha au kuwataarifu watu kuwa kuna hatari kwa hali hiyo wajihadhari. Sababu nyingine ni kuwa kipindi cha...
  3. Besty

    English enriched by Centuries of borrowed Arabic words

    Wataalam wa lugha ya kiswahili, wanatufahamisha kuwa lugha ya Kiarabu imeathiri lugha ya Kiswahili kwa asilimia zaidi ya aronaini (40%). Hii ni namba tunayopewa tunapojifunza kiswahili. Baadhi ya watu wanadai kuwa Kiswahili kimejengwa kwa asilimia zaidi ya hamsini (50%), lugha ya Kiarabu. Hapa...
  4. Besty

    English enriched by Centuries of borrowed Arabic words

    For 1000 years, Arabic was the primary international language of commerce, scholarship and politics, much as English is in today's world. In fact, over the centuries English adopted many words that were either borrowed directly from Arabic, or were absorbed indirectly through other languages...
  5. Besty

    Brain Damaging Habits

    1. No Breakfast People who do not take breakfast are going to have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing brain degeneration. 2. Over eating It causes hardening of the brain arteries, leading to a decrease in mental power. 3...
  6. Besty

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Mimi nina jambo moja linanisumbua sana kila ninaposoma mada zinazo husu muungano haswa kule zanzibarwebsite. Wazanzibar wengi wanatuhumu kuwa muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar unawaletea dhiki ya hali ya juu sana, kiuchumi na kiutamaduni. lakini mie nashindwa kuelewa hivi kweli Tanganyika...
  7. Besty

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tanganyika Na Zanzibar Kabla Ya Muungano TANGANYIKA: Tanganyika ilikuwa imeendelea tangia karne ya 7 kwa maana ya tangia mwaka 800BK. Japokuwa Historia inaonyesha wafanyabiashara wa kutoka Iran na Middle East waliingia East Afrika kwenye karne ya kwanza 1BK Lakini hawakuishi Zanzibar. Eneo hilo...
  8. Besty

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Salaam wana JF...!! Kuna mada zimenivutia kwa kiwango fulani, kiasi ya kwamba imeniwiya kuianzishia thread yake maalum... Najuwa kuna mada inaendelea kuhusiana na upigaji wa kura kuhusiana na kuendelea kwa muungano au kutoendelea (TUVUNJE MUUNGANO?). Naomba nieleze kidogo ninacho kifahamu...
  9. Besty

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Mmm..!! mkono wataka kula lakini mwili na akili vyafanya woga...!! sijui nichangieee... maana haya mambo mazito... unajuwa kuwa chakula cha serikali ni mwnanchi... na chakula cha mwananchi ni kura yake... na chakula cha mwandishi ni kalamu yake... Nami nishaanza kuhisi njaa... njaa... Naomba...
  10. Besty

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Thanx Invincible, for ur support. Mungu Akipenda nitakuja na hizo issues unazozitaka nizizungumzie. Japokuwa zilikuwa zipo ktk list za program zangu za kutaka kuelimishana zaidi. Insha'Allah tuombeane uhai na uzima. Nipo safarini kwa sasa, na sijajua itanichukuwa muda gani kurudi. Sisi...
  11. Besty

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Back pain is a common problem. Back pain is one of the most common ailments in the World. How is the back made up? The major feature is the spine. This is a highly complex and delicate structure which is made up of 33 small bones called vertebrae. In between each vertebra is a disc which acts...
  12. Besty

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Hukisikia mtu mzima kaangukia mdomo na pua ndo huku kulia na kucheka vyote vinajichanganya... yaani kulia unataka, kucheka unataka... upo kati kati. Jibuni maswali ya Chinga au ndo yanafanyiwa kazi...!!?
  13. Besty

    It's a spam! Do not respond!

    The Internet Fraud Advisory. Be warned, they promise millions but you could lose everything. (Btw - don't call those numbers, they could be premium rate lines) The pages below carry a sizeable list of the names and titles attached to some of the criminally motivated junk mail you may have...
  14. Besty

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Kuna sehemu ambayo nimezungumzia ukabila? au umeshindwa kuelewa nilicho andika? Fikiri kabla ya kujibu tafadhali, kina Chief Mkwawa, Mangi Sina, Mangi Mandara, Wakina Chief Songea Mbano na Chief Chabruma wa kule Ruvuma, au Saidi Milambo wa tabora, wakina Isike, Kinjekitile, au Chief Masanja...
  15. Besty

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Kwa nini tusiwaenzi kina Chief Mkwawa, Mangi Sina, Mangi Mandara, Wakina Chief Songea Mbano na Chief Chabruma wa kule Ruvuma, au Saidi Milambo wa tabora, wakina Isike, Kinjekitile, au Chief Masanja, Chief Mataka wa kule kwa wayao? Who's Okello?
Back
Top Bottom