Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

Besty

Member
Sep 2, 2006
69
35
what-are-the-causes-of-lower-back-pain.jpg

Back pain is a common problem. Back pain is one of the most common ailments in the World.

How is the back made up?

The major feature is the spine. This is a highly complex and delicate structure which is made up of 33 small bones called vertebrae.
In between each vertebra is a disc which acts as a shock absorber, and stops the bones rubbing together.

The discs are made up of a jelly like substance, which is protected by a tough, fibrous outer casing.
The spine is supported by specialised back muscles, and an array of ligaments, nerves and tendons.

What causes back pain?
As the spine is such a complex structure, it can often be difficult to pin down the exact cause of back pain.
Probably the most common cause is when the back muscles begin to spasm.
This can often occur after strenuous activity, or can be a reaction to repetitive strain.
The muscle is damaged, or irritated, and goes into spasm to protect the area from further injury.

This can be extremely painful, and can lead to muscle tears if undue stress is exerted.
Other causes of back pain include arthritis, fractures and infections.
In many cases experts believe back pain is a manifestation of emotional upset, rather than a physical problem.

More serious causes can include a prolapsed disc, or degenerative diseases of the spine - but these are relatively rare.

Are certain parts of the back more vulnerable?
Yes. The lower - or lumbar - region of the back is particularly prone to injury.
This because it bears the entire weight of the upper body, and is twisted and bent more than other parts.
As a result it inevitably suffers more wear and tear.

Why is back pain on the increase?
Experts believe that a major factor is the modern tendency to lead a sedentary lifestyle, both at work and home.

Spending long stretches of time sitting in one position - often with the back not properly supported - is not good for the spine.
The reliance on comfy soft furnishing may seem appealing - but often it encourages us to adopt a poor posture.

Back pain is much less common in places such as India, where many more people are used to sitting on the floor, which is thought to allow the back muscles to find their own natural position.

What is the treatment?
For most cases of back pain the only treatment is pain relief, often through the use of non-steroidal anti-inflammatory drugs such as aspirin.
Physiotherapy, heat therapy, massage and hydrotherapy can help.

How can you minimise the risk?
The spine is naturally curved into an S shape. The best way to keep it healthy is to try to maintain this shape as much as possible.

This is particularly important when performing tasks, such as lifting, that carry an increased risk of injury.
Strengthening the back muscles, keeping fit by taking regular exercise, and maintaining a healthy weight can all help to minimise the risk of back pain.

It is also important to have a mattress that properly supports the body while you are asleep.
If you do have a bad back probably the worst thing you can do is take to your bed.
Experts believe that it is best to stay as active as you possibly can.

Could there be another explanation for back pain?
Some lumbar and lower spinal pain is caused by patients having one leg longer than the other.

This puts the pelvis out of alignment causing pain, which without correction leads to long term compensatory problems such as back pain.

In this case it might be wise to consult a podiatrist who will measure the patient's limbs and if required provide either an orthoses - an orthopedic appliance used to support, align, prevent, or correct deformities - or arrange to modify the patients shoe to correct the difference.

WADAU WANAOHITAJI UFUMBUZI WA TATIZO HILI
Hello wana JF,

Mwenzenu nina tatizo amabalo sasa linatimiza mwaka wa pili, tatizo lenyewe ni maumivu ya mgongo na lipo kama lifuatavyo:-

Mgongo wangu unauma sana sehemu ya katikati na shingoni, wakati mwingine ni column nzima ya uti wa mgongo, hii hutokea wakati nimekaa kwa muda chini. Kazi yangu inanilazimu kukaa chini kwa zaidi ya masaa 10 kwa siku, lakini baada ya nusu saa tu ya kukaa chini mgongo huanza kuuma na wakati mwingine shingo hasa ninapotumia computer.

Nimefanyishwa mazoezi mbalimbali ambayo yalinipa nafuu tu, nimejaribu dawa za kichina na mitishamba bila mafanikio, nimejaribu kubadili kiti cha ofisini na mikao mbalimbali bila mafanikio. Na sasa utendaji wangu wa kazi upo hatarini sana.

Sasa wana-JF naomba mnipe msaada, either ni nani nikamwone au nini nifanye kupambana na tatizo hili. Najua hapa jamvini haliharibiki jambo.

Nawakilisha

Habari wana JF, naomba kupata msaada wenu kwa wale wenye upeo juu ya hili tatizo.

Mke wangu amejifungua miezi nane iliyopita,mwezi mmoja baada ya kujifungua alianza kulalamika sana kuwa anapata maumivu makali sana ya mgongo (haswa sehemu ya uti wa mgongo),kila siku huwa namchua na huwa anasema anajisia afadhali.

Nataka kujua kwanza hili tatizo linatokana na nini?

Plili, matibabu yake ili apone afanyaje? Maana kwa kweli inafika mahali namuonea huruma sana kwa jinsi anayolalamika...

Naomba msaada wenu wakuu

Habari!

Jamani nasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo sehemu ya chini (kwenye kiuno to be percise). Ni tatizo la muda mrefu sana, kila nikiwaona wataalamu napewa dawa za maumivu, haziponyeshi.

Kwa anayemfahamu mtaalamu wa kutoa tiba au dawa (iwe ya kienyeji au ya kisasa) YA KUONDOA TATIZO HILO KABISA tafadhali tuwasiliane kwa private message! Au la kama kuna ushauri wa kitaalamu nitafurahi kuupokea

Asanteni
Habari za Jumapili JF Doctors,

For more than a year I've been having this back pain. Early this year I went to a dispensary and doctor told me that I need a massage also I should buy some kind of mipira fulani hivi ambayo I should be putting on for a hour to three hours.
Lakini since then I still get this pains, and it scares me as some people says am still young (Soon 24 yrs) to have this problem.s

Please, is there anything or any cure out there should I do? I'm ril scared.

Mbimbinho.MICHANGO YA WADAU
DALILI, SABABU NA VIASHIRIA VYA HATARI

Dalili za maumivu ya mgongo

Mara nyingi mtu huweza kuhisi maumivu pale panakuwepo na mjongeo yaani kunyanyua kitu, kunyanyuka na kupiga hatua, kujipinda au kujinyoosha.

Mtu hujigundua kuwa na maumivu pale anapoamka asubuhi. Ukali wa maumivu hutegemeana na hutofautina na eneo la mgongo na yanaweza yakachokozwa au yakawa tuli na kutokana na aina ya mkao unaotumia. Mfano, kukaa au kusimama, kunyanyua mguu na wakati mwingine maumivu hushuka mpaka miguuni.

Maumivu ya mgongo hujitokeza zaidi kwa watu wa umri wa miaka 20-40 na ndio mara nyingi wanaofika kwa ajili ya matibabu, hapo baadaye nusu ya wagonjwa hupata maumivu makali kuliko ilivyokuwa mwanzoni na ikitokea maumivu yakawa sugu huambatana na matatizo mengine kama vile kukosa usingizi, unajisikia kulala mara kwa mara, lakini usingizi huwa mfupi hii ni kutokana na kushtuka mara kwa mara nyakati za usiku.

Katika hatua za baadaye wengi wa wagonjwa wenye tatizo hili hupata magonjwa ya akili kama vile msongo wa mawazo, sonona na woga uliopitiliza.

Sababu za maumivu ya mgongo

Huwa si tatizo linalosababiswa na ugonjwa fulani pekee bali huwa na sababu nyingi zinazoleta tatizo hilo, hakuna uhakika wa moja kwa moja sababu hasa inaleta maumivu haya, lakini inaaminika kuwa ni matokeo yaliyotokana na majeraha ya kawaida ya misuli na mifupa.

Uzito uliokithiri, uvutaji tumbaku, kuongezeka uzito kipindi cha ujauzito, shinikizo la kimwili, kutofanya kazi, mkao wa ovyo, ulalaji usioendana kimwili, haya ni mambo yanayoambatana na maumivu ya mara kwa mara ya mgongo.

Kwa upande wa magonjwa mwilini kama vile baridi yabisi ya mifupa, shambulizi la maungio, kunywea na kuchoropoka kwa sahani za mgongo, sahani za mgongo kujipenyeza katika uti wa mgongo, kuvunjika kwa vifupa vya mgongo mfano kumomonyoka kwa vifupa, yapo mambo mengine yanayosababisha ingawa ni nadra ni saratani au uvimbe au uambukizi.

Pia, yapo matatizo ya kinamama yanayoambatana na maumivu ya mgongo, kama vile kujipandikiza kusiko kwa kawaida kwa tishu za mfuko wa uzazi, saratani ya mirija ya uzazi, saratani ya ovary, uvimbe wa mfuko wa uzazi.

Karibu nusu ya wanawake waliowahi kuwa wajawazito hupata tatizo la maumivu ya chini ya kiuno wakati wa ujauzito hii ni kutokana na mabadiliko ya ujauzito yanayosababisha kuwa na mkao usio wa kawaida na mgandamizo wa misuli na nyuzi zinazoshika mifupa ya kiuno na mgongo.

Viashiria vya hatari

Endapo utaumwa mgongo na uzito ukipungua huku ukiwa na historia ya kuugua saratani hiyo ni dalili inayoweza kuashiria uwepo wa saratani iliyosambaa.

Kushindwa kudhibiti haja kubwa na ndogo, kukosa hisia za mihemko ya kimwili, misuli kudhoofika, kukosa hisia katika maeneo ya makalio, hii ni dalili inayoambatana na ugonjwa wa mfumo wa fahamu uitwao kitaalamu, cauida equine syndrome. Ajali zilizoambatana na umri mkubwa na matumizi ya mda mrefu ya dawa jamii ya corticosteroidi hii huashiria kuvunjika kwa pingili za mifupa ya mgongo.
Kuwa na maumivu makali sana ya chini ya mgongo kwa mtu aliyewahi kufanyiwa upasuaji mwaka uliopita.

Uwepo wa homa kali, uambukizi njia ya mkojo, upungufu wa kinga mwilini, utumiaji wa dawa kwa njia ya mshipa, ni viashiria vya uwepo wa maumbukizi mwilini. Mambo haya ni viashiria hatari kuwa mwilini kuna tatizo kubwa hivyo hatua za haraka zinahitajika kwa ajili ya uchunguzi wa kina na matibabu. Ukiwa na swali nitafute bonyeza hapa.
MAZOEZI (YASIYO YA KUINUA VITU VIZITO) YANAFAA
Exercising is good for your body as a whole, but regular non-weight-bearing exercise is even better for your back. Exercises such as bicycling and swimming provide great cardiovascular benefits without causing strain on your joints and are beneficial to the spine because of their strengthening benefits.

As the muscles that support the spine become weaker, they become inefficient in supporting the spine in its normal position. As a result your whole back can become sore and tired, said Jason Marchetti, M.D., physiatrist with Texas Back Institute.

Bicycling is a great way to enjoy good weather, and stationary bicycle riding proves just as effective as outdoor biking in maintaining cardiovascular health. Bicycling your legs while lying on your back is also beneficial. Since the muscles around your spine help support the weight in your legs, it serves as a mode of conditioning a sore back.

Riding position on a bicycle can cause undue strain to the back, while cycling through rough terrain increases jarring and pressure on the spine. To avoid these common pitfalls, incorporate these tips into your biking routine:

Consider using a mountain bike with higher handlebars and bigger tires. This will put your spine in an upright position, while the larger tires help absorb more vibrations.

Make sure that some of your body weight is distributed to your arms and keep your neck loose to avoid stiffness.
Ride with shock absorbing accessories such as seat covers and gloves.

Make sure there is not too much reach between the seat and handlebars. This can cause neck strain and lead to pain and stiffness
SABABU ZINAZOWEZA KULETA TATIZO HILI

Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kusababisha maumivu ya mgongo

1. Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo: Maambukizi katika pingili za uti wa mgongo kama vile maambukizi ya saratani ya mifupa huweza kuleta maumivu makali ya mgongo.

2. Kuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo: Hii huweza kusababishwa na vitu mbalimbali hususani ajali ya kuanguka au kupinduka na gari.

3. Umri mkubwa: Tatizo la maumivu ya mgongo mara kwa mara huwakuta watu wazima na wazee.

4. Uzito kupita kiasi: Uzito wa mwili kupita kiasi husababisha kuelemewa kwa uti wa mgongo na hivyo kuleta mgandamizo wa pingili za uti wa mgongo na kusababisha maumivu.

5. Kukaa kwa muda mrefu: Kukaa kwa muda mrefu kama vile ofisini au madereva bila ya mazoezi hupelekea maumivu ya Mgongo.

6. Mtindo wa Maisha (Lifestyles): Mtindo wa maisha kama vile kupuuza mbogamboga na vyakula vya asili hupelekea kuwa na mifupa hafifu na hivyo ni rahisi kuathirika hata kwa msuguo mdogo tu.
KUEPUKA MAUMIVU YA MGONGO

Do crunches and other abdominal-muscle strengthening exercises to provide more spine stability. Swimming, stationary bicycling and brisk walking are good aerobic exercises that don't put extra stress on your back.

Use correct lifting and moving techniques, such as squatting to lift a heavy object. Don't bend and lift. Get help if an object is too heavy or an awkward size.

Maintain correct posture when you're sitting and standing. Don't slouch. Don't smoke. Smoking is a risk factor for arthrosclerosis (hardening of the arteries), which can cause lower back pain and degenerative disc disorders. Also, smokers tend to be sedentary, which leads to back problems.

Reduce emotional stress, which may cause muscle tension.

Lose weight. Extra weight, especially around the middle, can put strain on your lower back.

Using elastic belts that "pull in" the lumbar, or lower back, and abdominal muscles may not work. A major study of these kinds of belts worn by people who lift or move heavy objects said that the belts did not reduce back injury or back pain. The study from the National Institute for Occupational Safety and Health did not find a difference in back injuries among workers who wore back belts every day compared to workers who never used these belts or used them once or twice a month.

Exercises for your back

Here are some exercises to help strengthen your back. They should be done every day for five minutes:

The Cat-Camel: Do this as a warm-up. This helps lubricate the joints of the spine and restores flexibility to the spinal muscles and ligaments. The Cat-Camel starts on all fours. Slowly alternate arching and rounding your back. Hold each pose for eight to 12 seconds.

Curl-up: Lie flat on your back with one knee flexed. Raise your head and shoulders off the floor; alternate the bent leg midway through each set of repetitions. Pause and then return to the starting position.

Side Bridge: This exercise works your abdominals. This is important because strong abdominals help give the spine good support. Lie on your right side, bending your knees. Raise your upper body using your right arm to hold you up. Use the torso to lift the hips, being careful not to let the top hip rotate forward. Make sure to bend your elbow directly beneath your shoulder. Place your left hand on your hip. Hold this position for 10 to 15 minutes and then repeat on the opposite side.

Birddog: Start on all fours. Extend one leg and the opposite arm so that they are parallel to the floor. Hold this position for seven to eight seconds, and then repeat with the opposite arm and leg.
How to sit

Make sure your chair has a straight back. Your knees should be slightly higher than your hips. A stool might help if you cannot adjust the chair. While at your desk, turn with your entire body. Don't slouch.

When driving, sit straight. Avoid leaning forward to reach the controls. A small pillow or towel under your lower back can help.

How to stand

Don't slouch. If you are standing for a long time, rest a foot on a low stool. Every so often, switch feet.

How to sleep

Sleeping on your side with a pillow supporting your head and another between your knees is the most ideal position. For back sleepers, placing a pillow under the knees and under your lower back can help. Don't sleep on your stomach. Also sleep on a firm mattress.
USHAURI KULINGANA NA UZOEFU
Mimi ninakushauri kama ni Disk zilizopo kwenye mwili wako ndio zinakusumbuwa nakushauri uende kwa Wataalam wa hayo maradhi ya hizo Diski ninafikiri nenda kwa Moi hapo muhimbili wapo hao wataalam wa matatizo yako watakutatulia na yatakwisha tu inshallah usijaribu kutumia Dawa yoyote pasipo na ushauri wa doctor na huyo doctor lazima akaupige Xray ili apate kujuwa una matatizo gani kwenye hizo diski zako za mwilini.

Mimi pia yalinikuta hayo matatizo ya Diski nikaenda kwa doctor akanipiga Xray na akipa dawa nikapona lakini nipo Ughaibuni mimi niliwahi kuumwa mwaka 2004 hayo matatizo ya kiuno nikawa nashindwa hata kutembea jaribu kumuona Doctor akupe ushauri na Dawa nzuri.
SABABU NA TIBA

Maumivu ya mgongo ni tatizo kubwa sana linalowakumba watu tofauti.
Maumivu hayo hutokana na ukaaji kitako wa mtu, matatizo ya kibinafsi
(stress) pamoja na uzito wa mwili wa mtu mwenyewe.

Mara nyingi maumivu ya mgongo huanzia katika kiungo cha kiuno mgongoni na pia maumivu hayo hupandi hadi kufikia katikati ya mgongo.

Na wengi wao huumwa na aina ya mgongo inayoitwa "cervical and lumbar spondylosis" hii hutokana mifupa kuregea na kuachana katika nafasi zao.

Sababu:
Moja katika sababu za kuumwa na mgongo ni upungufu wa harakati za mwili. Mtu hatakiwi kujipweteka siku nzima ni lazima uwe na harakati ili mwili uchangamke na kwa yule anayeweza kufanya mazoezi basi vyema kufanya mazoezi hayo.

Kati ya sababu nyengine ambazo pia huchangia kuumwa na mgongo ni kwa wale wenye matatizo ya kidney na wenye matatizo ya kike (uzazi n.k)

Sababu hii ni sababu ambayo wengine wetu huumwa mgongo kwajili ya ukaaji sana kitako na pia kuvaa viatu vyenye heels refu.
Unapokaa sana ujue namna ya kukaa unatakiwa lazima unyooshe mgongo wako sio ushafika ofisini unajipweteka ndio hapo unaporudi unajikuta mgongo sio wako.

Na kwa wale wanaopenda kuvaa viatu virefu ni vyema wasivae viatu hivo ikiwa watakuwa na harakati nyingi au mwendo mrefu., kwani unalazimisha mascles zako zifanye kazi overload ndipo baadae huchoka zile muscles na hutoa maumivu ya mgongo.

Tumia dawa zifuatazo ili uweze kuponesha mgongo wako:

Kitunguusaumu: Garlic
Chukua mafuta yoyote uyapendayo ikiwa ya nazi au ya ufuta kiasi cha 60ml uweke katika frying pan na utie vichembe vitatu vya Kitunguu saumu yakaange mafuta hayo mpaka vitunguusaumu zibadilike rangi, baadae ujipake mgongoni bila kuchua na ukae nayo kwa muda wa masaa matatu baada ya hapo unaweza kwenda kukoga tena kwa maji ya vugu vugu (warm water).

NDIMU:
Kamua juici ya ndimu katika glass ya maji utie na chumvi kijiko kimoja kunywa kwa siku mara mbili. Mungu akipenda utapata nafuu.

Ulaji bora:
Mwenye matatizo ya mgongo anatakiwa ale salad kwa wingi kama vile tungule, carrot, cabbage, matango na vile vile anatakiwa achemshe hizi mboga mboga (asichemshe sana) pia anatakiwa ale fruit kwa wingi isipokuwa ndizi asile.
Ulaji wa asubuhi:
fruit na maziwa
Ulaji wa mchana:
mboga mboga zilizoshemshwa kdg tu pamoja na chapati za unga wa ngano nzima
Ulaji wa jioni:
Fresh juice au fruit.
Ulaji wa usiku:
Bakuli zima la Salad

Unatakiwa uache kula vyakula vya mafuta pamoja na vyakula vya sukari nyingi.

Sigara na aina zote za tobacco anatakiwa mwenye backache aache mara
moja.

Unaweza kujikanda kanda (pole pole) kwa kutumia mpira ya maji ya moto.

Tumia Dawa kisha unipe mimi Maendeleo yako unaendeleaje? Please give me your feedback

DAWA YA MAUMIVU YA MGONGO BAADA YA KUJIFUNGUWA MZAZI

Mimi ninakupa Tiba ya Mbadala ya Maumivu ya Mgongo atumie kiasi cha wiki kisha uje hapa unipe Feedback. Fanya hivi: Kila Dawa ni Yenye kujitegemea unachaguwa iliyokuwa kwako ni Rahisi kuitumia:

(1) Dawaya Maumivu ya Mgongo: Chukuwa Mafuta Ya Ubani kwa jina la kiarabu yanaitwa ( Zeti Lubani) Na Jipake Sehemu Ya Maumivu Na Inshaallah utapona

(2) Kuumwa kwa Mgongo (Sehemu ya Chini):
Changanya asali pamoja na ¼ (robo) kijiko cha Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha kwanza kunywa wakati wa asubuhi kabla ya kufungua kinywa.

(3) Maumivu ya mgongo ni tatizo kubwa sana linalowakumba watu tofauti.
Maumivu hayo hutokana na ukaaji kitako wa mtu, matatizo ya kibinafsi
(stress) pamoja na uzito wa mwili wa mtu mwenyewe.

Mara nyingi maumivu ya mgongo huanzia katika kiungo cha kiuno mgongoni na pia maumivu hayo hupandi hadi kufikia katikati ya mgongo.

Na wengi wao huumwa na aina ya mgongo inayoitwa "cervical and lumbar spondylosis" hii hutokana mifupa kuregea na kuachana katika nafasi zao.

Sababu:
Moja katika sababu za kuumwa na mgongo ni upungufu wa harakati za mwili. Mtu hatakiwi kujipweteka siku nzima ni lazima uwe na harakati ili mwili uchangamke na kwa yule anayeweza kufanya mazoezi basi vyema kufanya mazoezi hayo.

Kati ya sababu nyengine ambazo pia huchangia kuumwa na mgongo ni kwa wale wenye matatizo ya kidney na wenye matatizo ya kike (uzazi n.k)

Sababu hii ni sababu ambayo wengine wetu huumwa mgongo kwajili ya ukaaji sana kitako na pia kuvaa viatu vyenye heels refu.
Unapokaa sana ujue namna ya kukaa unatakiwa lazima unyooshe mgongo wako sio ushafika ofisini unajipweteka ndio hapo unaporudi unajikuta mgongo sio wako.

Na kwa wale wanaopenda kuvaa viatu virefu ni vyema wasivae viatu hivo ikiwa watakuwa na harakati nyingi au mwendo mrefu., kwani unalazimisha mascles zako zifanye kazi overload ndipo baadae huchoka zile muscles na hutoa maumivu ya mgongo.

Tumia dawa zifuatazo ili uweze kuponesha mgongo wako:

Kitunguu Saumu

Chukua mafuta yoyote uyapendayo ikiwa ya nazi au ya ufuta kiasi cha 60ml uweke katika frying pan na utie vichembe vitatu vya Kitunguu Saumu yakaange mafuta hayo mpaka Kitunguu saumu zibadilike rangi, baadae ujipake mgongoni bila kuchua na ukae nayo kwa muda wa masaa matatu baada ya hapo unaweza kwenda kukoga tena kwa maji ya vugu vugu (warm water).

NDIMU:
Kamua juici ya ndimu katika glass ya maji utie na chumvi kijiko kimoja kunywa kwa siku mara mbili. Mungu akipenda utapata nafuu.

Ulaji bora:
Mwenye matatizo ya mgongo anatakiwa ale salata kwa wingi kama vile nyanya, carrot, cabbage, matango na vile vile anatakiwa achemshe hizi mboga mboga (asichemshe sana) pia anatakiwa ale fruit Matunda kwa wingi isipokuwa ndizi asile.

Ulaji wa asubuhi:
fruit na maziwa

Ulaji wa mchana:
mboga mboga zilizoshemshwa kidogo tu pamoja na chapati za unga wa ngano nzima

Ulaji wa jioni:
Fresh juice au fruit.

Ulaji wa usiku:
Bakuli zima la Salata

Unatakiwa uache kula vyakula vya mafuta pamoja na vyakula vya sukari nyingi.

Sigara na aina zote za tobacco anatakiwa mwenye Maumivu ya Mgongo aache mara
moja.

Unaweza kujikanda kanda (pole pole) kwa kutumia mpira ya maji ya moto.

na kuoga kila siku kwa maji ya moto inasaidia kupunguza maumivu.

(4) Kutibu Maradhi ya Mgongo Mwambie Mgonjwa anapo amka Asubuhi kabla ya kula kitu na kabla ya kupiga mswaki achemshe maji ya Uvuguvugu Anywe Glasi 2 kisha aende kupiga mswaki na akisha maliza kupiga mswaki achemshe tena maji ay ugvuvugu Glasi moja anywe na akae kwa muda kama dakika 45 ndio anaweza kunywa chai ya asubuhi .

Na ikifika wakati wa mchana kabla ya kula kitu achemshe tena maji ya Uvuguvugu anywe Glasi 1 kisha akae kama dakika 45 kisha ndio anaweza kula chakula cha mchana.

Na ikifika wakati wa usiku kabla ya kula chakula cha usiku achemshe tena maji ya Uvuguvugu glasi 1 anywe na akae kamadakika 45 ndio anaweza kula chakula cha usiku kisha wakati wa kwenda kulala achemshe tena maji Glasi 1 anywe ndio alale usingizi afanye hivyo kwa muda wa wiki 2 atakuwa amepona kabisa hayo maradhi yake ya Maumivu ya mgongo.

Tumia moja kati ya hizo dawa kisha uje hapa unipe Maendeleo ya Mgonjwa wako anaendeleaje? MKUU.@gforum

MAUMIVU YA MGONGO HAYATAKI DAWA!

TATIZO la kuumwa mgongo (sehemu ya chini) ni kubwa miongoni mwa watu wengi, inakadiriwa kati ya asilimia 75-85 ya watu duniani hupatwa na matatizo ya mgongo katika maisha yao. Mara nyingi matatizo ya kuumwa mgongo, huwa hayatokani na maradhi, bali hutokana na kazi wanazozifanya au mazingira wanayoishi watu.

Aidha, asilimia 50 ya watu wenye matatizo ya kuumwa mgongo ni wafanyakazi wenye kazi za kukaa au kuinama kwa muda mrefu bila kubadili mkao na hali hiyo huwa ndiyo sababu ya kushindwa hata kwenda kazini.

Kama nilivyoanza kusema hapo awali, mara nyingi tatizo la kuumwa mgongo huwa la muda mfupi na halitokani na maradhi, lakini linapoachwa kwa muda mrefu huwa tatizo kubwa la kiafya na husababisha matatizo mengine.

Kosa kubwa linalofanywa na watu wengi ni kukimbilia kumeza dawa za kupunguza maumivu (pain killers) badala ya kuliondoa tatizo kwa njia nyingine za kawaida kama tutakavyojifunza katika makala haya ya leo.

Ubaya wa kumeza dawa za kutuliza maumivu ni kusababisha matatizo mengine mwilini mbali na hilo la mgongo, kwani dawa za kutuliza maumivu huwa na madhara mengi. Inaelezwa kuwa dawa hizo huweza kusababisha hata kifua kikuu (Tuberculosis).

Kuna utafiti mmoja wa nchini Marekani umeonesha kuwa, siyo vidonge vya kupunguza maumivu tu vyenye madhara, bali hata sindano za maumivu nazo zina madhara. Mwaka jana, zaidi ya watu 22 waliotumia dawa ya sindano (steroid injections) kutuliza maumivu makali ya mgongo waliyokuwa nayo, walipatwa na ugonjwa wa uti wa mgongo.

NINI CHA KUFANYA UUGUAPO MGONGO?
Kwa kuwa kitendo cha kukaa kwa muda mrefu bila kubadili mkao na utembeaji usio sawa (kama hutatembea umenyooka mwili) ndiyo chanzo kikuu cha maumivu ya mgongo, upatapo maumivu, kitu cha kwanza kufanya ni mazoezi ya kunyoosha viuongo, na hasa mgongo.

Ni kosa kubwa kukimbilia vidonge au sindano za kutuliza maumivu, badala yake unatakiwa kufanya mazoezi sahihi ya kunyoosha mgongo na vilevile kujiepusha na kukaa kwa muda mrefu bila kuinuka.

DONDOO MUHIMU KUJIEPUSHA NA TATIZO
Hakikisha ukaapo unakaa sawa, bila kupinda mgongo kwa muda mrefu na ufanye mazoezi madogo madogo kabla, katikati ya kazi na baada ya kazi.

Hakikisha kiwango chako cha Vitamin D mwilini kiko sawa kwa kupata mwanga wa jua wa kutosha kwa siku au kula vidonge vinavyoongeza Vitamin D (Vitamin D supliments)

Kama unafanya kazi ya kukaa kwa muda mrefu, hakikisha mara kwa mara una vuta punzi nyingi kuingia ndani na kutoa pumzi nje kwa sekunde kadhaa, mara kwa mara. Hii husaidia kuamsha mishipa ya eneo la tumbo na mgongo.

Fanya masaji ya mgongo mara kwa mara, hii husaidia kunyoosha mishipa ya mgongo na kuondoa maumivu haraka. Lala kwenye kitanda kilichonyooka au sakafuni ili kunyoosha mgongo.

Kwa akina dada, usipende kuvaa viatu virefu huku umekaa kwa muda mrefu wakati wa kufanya kazi zako.

Kunywa maji mengi kila siku, hii husaidia kufanya mtiririko wa damu mwilini kuwa mwepesi katika mishipa.

Kwa kuzingatia dondoo zilizotajwa hapo juu, bila shaka wakati mwingine utakapopatwa na maumivu ya mgongo, utazingatia hayo na utajiepusha na kukimbilia dawa za maumivu. Kumbuka, kinga ni bora kuliko tiba na maumivu yakizidi sana, tafadhali pata ushauri wa daktari.
MAJI KAMA SULUHU YA TATIZO HILI
Kunywa maji ya Uvuguvugu kila mara matatizo yako yataondoka mapema hutaumwa tena na mgongo. Na umwambie shemeji yangu akupige masaji ya mafuta ya karafuu yaliyo changanywa na mafuta ya zaituni utapona.

Kunywa maji ya uvuguvugu kwa utaratibu huu hapa chini:

pendelea kila uposikia kiu kunywa maji ya moto au ya Uvuguvugu basi unaweza kukaa hata

mwaka usiumwe na maradhi

Kwa Mtu Mgonjwa wa Maradhi yoyote inatakikana awe anakunywa maji Uvuguvugu unapo

amka Asubuhi kabla ya kupiga mswaki unywe Glasi 2 za Maji ya Uvuguvugu na baada ya

kupiga Mswaki unywe glasi 1 na kabla ya kunywa chai unywe Glasi moja ya maji Uvuguvugu

kila siku afanye hivyo kwa wakati wa asubuhi.

Na Wakati wa mchana Dakika 15 au dakika 30 kabla ya kula chakula cha mchana unywe Maji ya

Uvuguvugu Glasi 1.

Na Wakati wa chakula cha Usiku unatakiwa unywe Maji ya Uvuguvugu

Glasi 2 kabla ya kula chakula cha usiku.

na unywe Maji ya Ya Uvuguvugu Glasi 1 kabla ya kwenda kulala usiku.cc.@badiebey
SABABU ZA MAUMIVU YA MGONGO NA TIBA YAKE ASILI

Hali ya maumivu ya mgongo huwatesa watu wengi hasa wale wenye umri miubwa jambo ambalo husababisha awatu hao kutojisikia vizuri au kawaida katika misuli au mifupa ya mgongo wako.

Moja ya sababu za maumivu ya mgongo ni aina ya kazi unayofanya. Kazi inayohitaji muda mwingi katika kukaa/kusimama au unaifanya ukiwa katika mkao wa kuinama huchangia sana maumivu ya mgongo.

Sababu nyingine ni ubebaji wa mizigo mizito usiozingatia afya ya mgongo na hata kulalia matandiko (magodoro) laini wakati wa kulala.
Uzito wa kupita kiasi (ujauzito, kitambi) huweza kusababisha maumivu ya mgongo, ila akina mama wajawazito wanafahamu! Kinachotokea huwa ni kubadilika kwa mfumo mzima wa maumbile ya mgongo na hivyo kusababisha baadhi ya misuli/mifupa kubeba uzito wakati wa kukaa au kusimama.

Sababu nyingine ni pamoja na magonjwa yanayoathiri mifupa (pingili) za mgongo kama vile TB ya mifupa ya mgongo, lakini pia kuvunjika au kuhama kwa mifupa ya mgogo kutoka nafasi yake ya hapo awali kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo ajali huweza kuwa sababu pia ya maumivu ya mgongo.

Mbali na sababu hizo pia umri wa uzeeni ni mojawapo ya sababu ya maumivu ya mgongo, kadri mtu anavyozidi kuukaribia uzee ndivyo kunavyozidi kutokea mabadiliko katika mifumo yote ya mwili ikiwemo ile ya mifupa na misuli hivyo kuleta matatizo mengine ya kimfumo yakiwemo maumivu ya mgongo na mengineyo.

Sasa baada ya kufahamu sababu hizo ambazo huchangia maumivu ya mgongo ni vyema ikafahamika kwamba kuna baadhi ya vitu asili huweza kutumika kutibu matatizo haya ya maumivu ya mgongo.

Hapa napenda kukwambia kwamba kitunguu swaumu huweza kutuliza maumivu ya mgongo ambapo utahitajika kusaga punje za kitunguu swaumu kisha tumia lojo lojo yake kuchua ile sehemu yenye maumivu. Fanya zoezi hilo asubuhi na jioni kila siku kwa muda wa wiki mbili na utaona mabadiliko.
FUATA HAYA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA MGONGO

Watu wengi wenye matatizo ya mgongo husumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi wa kutosha.

Sababu kubwa huwa

1. Maumivu makali
2. Kukaza kwa misuli ya mgongo
3. Msongo wa mawazo

Chukua hatua hizi
1. kabla ya kulala oga maji ya uvugu uvugu kulainisha misuli iliyokaza mwilini

2. Ukilala chali weka mto mkubwa au miwili midogo nyuma ya mapaja
Hii husaidia kupunguza mkandamizo katika pingili za mgongo na kulegeza misuli ya mgongo iliyokaza. Huondoa maumivu

3. Ukilala upande
weka mto mlaini na size ya kati eneo la kichwa na mwengine weka katikati ya miguu

4. Tafuta mtaalam wa fiziotherapia kupata matibabu ya tatizo lako na kupata ushauri wa namna ya kuondoa msongo mawazo kulingana na tatizo lako

Fuatilia maelezo ya picha hapo chini

View attachment 1117134

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu Besty

Asante sana kwa maarifa haya ya kitabibu. Sijui kama wewe ni dr au, lakini kama ndivyo, naomba maarifa kidogo juu ya tatizo la addiction. Wengi wanajua zaidi smoking addiction, alcohol, gambling na drugs.

Zipo aina nyingine kama chocoholic au shopaholic. Unaweza kutoa maelezo kidogo nini hasa kinasababisha hali hiyo? Na inakuwaje wengine wanaweza kujinasua wenyewe, wengine hoi? Halafu kuna matibabu yake hospitalini(psychic department may be)?
 
Thanx Invincible, for ur support. Mungu Akipenda nitakuja na hizo issues unazozitaka nizizungumzie. Japokuwa zilikuwa zipo ktk list za program zangu za kutaka kuelimishana zaidi. Insha'Allah tuombeane uhai na uzima.

Nipo safarini kwa sasa, na sijajua itanichukuwa muda gani kurudi. Sisi waswahili tunasema Safari hatua.
 
Exercising is good for your body as a whole, but regular non-weight-bearing exercise is even better for your back. Exercises such as bicycling and swimming provide great cardiovascular benefits without causing strain on your joints and are beneficial to the spine because of their strengthening benefits.

As the muscles that support the spine become weaker, they become inefficient in supporting the spine in its normal position. As a result your whole back can become sore and tired, said Jason Marchetti, M.D., physiatrist with Texas Back Institute.

Bicycling is a great way to enjoy good weather, and stationary bicycle riding proves just as effective as outdoor biking in maintaining cardiovascular health. Bicycling your legs while lying on your back is also beneficial. Since the muscles around your spine help support the weight in your legs, it serves as a mode of conditioning a sore back.

Riding position on a bicycle can cause undue strain to the back, while cycling through rough terrain increases jarring and pressure on the spine. To avoid these common pitfalls, incorporate these tips into your biking routine:

Consider using a mountain bike with higher handlebars and bigger tires. This will put your spine in an upright position, while the larger tires help absorb more vibrations.

Make sure that some of your body weight is distributed to your arms and keep your neck loose to avoid stiffness.
Ride with shock absorbing accessories such as seat covers and gloves.

Make sure there is not too much reach between the seat and handlebars. This can cause neck strain and lead to pain and stiffness
 
Acute Lower Back Pain : Prevention

Do crunches and other abdominal-muscle strengthening exercises to provide more spine stability. Swimming, stationary bicycling and brisk walking are good aerobic exercises that don't put extra stress on your back.

Use correct lifting and moving techniques, such as squatting to lift a heavy object. Don't bend and lift. Get help if an object is too heavy or an awkward size.

Maintain correct posture when you're sitting and standing. Don't slouch. Don't smoke. Smoking is a risk factor for arthrosclerosis (hardening of the arteries), which can cause lower back pain and degenerative disc disorders. Also, smokers tend to be sedentary, which leads to back problems.

Reduce emotional stress, which may cause muscle tension.

Lose weight. Extra weight, especially around the middle, can put strain on your lower back.

Using elastic belts that "pull in" the lumbar, or lower back, and abdominal muscles may not work. A major study of these kinds of belts worn by people who lift or move heavy objects said that the belts did not reduce back injury or back pain. The study from the National Institute for Occupational Safety and Health did not find a difference in back injuries among workers who wore back belts every day compared to workers who never used these belts or used them once or twice a month.

Exercises for your back

Here are some exercises to help strengthen your back. They should be done every day for five minutes:

The Cat-Camel: Do this as a warm-up. This helps lubricate the joints of the spine and restores flexibility to the spinal muscles and ligaments. The Cat-Camel starts on all fours. Slowly alternate arching and rounding your back. Hold each pose for eight to 12 seconds.

Curl-up: Lie flat on your back with one knee flexed. Raise your head and shoulders off the floor; alternate the bent leg midway through each set of repetitions. Pause and then return to the starting position.

Side Bridge: This exercise works your abdominals. This is important because strong abdominals help give the spine good support. Lie on your right side, bending your knees. Raise your upper body using your right arm to hold you up. Use the torso to lift the hips, being careful not to let the top hip rotate forward. Make sure to bend your elbow directly beneath your shoulder. Place your left hand on your hip. Hold this position for 10 to 15 minutes and then repeat on the opposite side.

Birddog: Start on all fours. Extend one leg and the opposite arm so that they are parallel to the floor. Hold this position for seven to eight seconds, and then repeat with the opposite arm and leg.
How to sit

Make sure your chair has a straight back. Your knees should be slightly higher than your hips. A stool might help if you cannot adjust the chair. While at your desk, turn with your entire body. Don't slouch.

When driving, sit straight. Avoid leaning forward to reach the controls. A small pillow or towel under your lower back can help.

How to stand

Don't slouch. If you are standing for a long time, rest a foot on a low stool. Every so often, switch feet.

How to sleep

Sleeping on your side with a pillow supporting your head and another between your knees is the most ideal position. For back sleepers, placing a pillow under the knees and under your lower back can help. Don't sleep on your stomach. Also sleep on a firm mattress.
 
Wana JF, nani anajua dawa nzuri ya kutibu mgongo? Ni kama disks zinasumbua baada ya muda hasa ukiamuka asubuhi ni maumivu.
 
Dawa ya maana kabisa ni kulala kwenye kitu ambacho akibonyei kabisa, hivyo ni vema ukaanza kulala chini kwenye sakafu unaweka blanket au shuka au unatafuta kipande cha mbao plywood/ceilingboard hivyo ndio kinakuwa kitanda chako, jitahidi sana ukiwa umekaa uwe unakaa wima na epuka kukalia mgongo hasa kwenye sofa
 
Mimi ninakushauri kama ni Disk zilizopo kwenye mwili wako ndio zinakusumbuwa nakushauri uende kwa Wataalam wa hayo maradhi ya hizo Diski ninafikiri nenda kwa Moi hapo muhimbili wapo hao wataalam wa matatizo yako watakutatulia na yatakwisha tu inshallah usijaribu kutumia Dawa yoyote pasipo na ushauri wa doctor na huyo doctor lazima akaupige Xray ili apate kujuwa una matatizo gani kwenye hizo diski zako za mwilini.

Mimi pia yalinikuta hayo matatizo ya Diski nikaenda kwa doctor akanipiga Xray na akipa dawa nikapona lakini nipo Ughaibuni mimi niliwahi kuumwa mwaka 2004 hayo matatizo ya kiuno nikawa nashindwa hata kutembea jaribu kumuona Doctor akupe ushauri na Dawa nzuri.
 
Ni vizuri ukamuone Dactari akupe ushauri. Inawezekena unasema ni disk kumbe siyo. Ebu nenda hospitali utapate tiba kamili kwa ugonjwa sahihi.
 
Asanteni, nafikri ushauri niende moi tu. Nitawahabarisha maendeleo.
 
Pole sana, mwenyezi Mungu akutangulie huko. Uwe na imani unawezapona hata kabla ya kufika huko moi. Jiombee na sisi tunakuombea.
 
Eight out of 10 adults in America haveor will soon experienceback pain brought on by the wear and tear of living. It seems simple to pop a pill for the pain, but why not avoid the side effects by trying natural possibilities first? You can turn to natural healing practices and herbs to alleviate back pain.

The Chinese medical perspective

According to Chinese medicine, the skeletal structure, bones, and lower back are part of the kidney network. Kidney energy tends to diminish as we age, more rapidly with unhealthy diet, excessive strain, and youthful indiscretions such as drug and alcohol use. Weakness in the kidney network results in symptoms of lower back pain, as well as general weakness, fatigue, and other signs of premature aging. Replenishing kidney energy is a slow and difficult process; that is why it is essential to preserve kidney energy. Fortunately, through qigong exercises, herbs, proper diet and lifestyle, you can slow down its depletion and even regenerate certain aspects of kidney energy, and in the process, ease some of your back pain. Try these tips!

1. Eucommia for your aching back
Eucommia is a traditional ingredient in herbal formulas for back and joint pain and helps to strengthen your bones, tendons, and ligaments. Western studies with rats have discovered that both the leaves and the bark of eucommia contain a compound that encourages the development of collagen, an important part of connective tissues like skin, tendons, and ligaments. A typical dosage is 350 mg twice a day. You can also try the traditional Chinese Arthritis/Joint formula, which includes eucommia and other herbs that support a strong back.

2. Press here for relief
Lower back pain is one of the most common problems that we treat at the Tao of Wellness. We use acupuncture and bodywork to reduce pain, which has proven quite effective. Like acupuncture, acupressure is the art of acupuncture without needles, where you use your own fingers to stimulate a specific acupoint. The combination of the following two acupoints is good for strengthening the kidneys and alleviating back pain:

Find the acupoint: Forceful Torrent (Ki-3), which is in the depression between the inner anklebone and the Achilles tendon of the right foot. Apply steady pressure with your right thumb until you feel soreness. Hold for 3 minutes. Repeat on the left foot.

Find the acupoint: Supporting the Core. It's in the middle of the popliteal crease behind the knee of the right leg. Apply pressure with your right middle finger until you feel soreness. Hold for 3 minutes. Repeat on your left leg.

You can also massage the parts or your back that are in pain. Tonic oil, which consists of oils of camphor, peppermint, eucalyptus, fennel, and wintergreen, can be massaged into your back for relief from minor aches and pains. For a traditional blend of tonic oil in a pure sesame oil base, click here.

3. Tasty treats for back pain
Make a delicious anti-inflammatory cocktail by mixing equal parts of unsweetened black cherry juice with dark grape juice and drink 3 to 6 glasses a day until the pain has eased. Also, feature more pineapple in your diet. Pineapple contains an enzyme called bromelain, which is a natural anti-inflammatory that helps with back pain, as well as muscle and joint pain.

4. Exercise can ease your back
Most back pain is caused by the wear and tear of living, which over time weakens our skeletal structure, in the form of bone loss or a displaced disk. Research conclusively shows that exercise early in life builds bone mass and strengthens the skeletal structure, helping to prevent injury down the road. The good news is that if you are advancing in age, regular exercise can slow the progress of degenerative bone disorders.

Generally for a healthy back, I recommend a combination of exercises: a 30-minute daily walk, moderate weight training to strengthen muscles and bones, and tai chi or qigong to build endurance and flexibility. A good form to choose is Dao-In qigong, which is gentle on the body and great for loosening up the back. You can look for a local tai chi practitioner to teach you or learn from an instructional DVD. During acute back pain, exercise may be difficult or too painful. Until you are mobile, bed rest is the best.

I hope you have found some natural ways to alleviate your back pain! I invite you to visit often and share your own personal health and longevity tips with me.

May you live long, live strong, and live happy!
-Dr. Mao

Yahoo France | Actualités, mail et recherche
 
Aargh!Unataja ma-herbs ambayo inawezekana hayapo hata Bongo. Vitu vingine vya copy n paste bwana!
Samahani lakini.
 
Back Pain
Back pain is a common problem
Back pain is one of the most common ailments in the World.

How is the back made up?
The major feature is the spine. This is a highly complex and delicate structure which is made up of 33 small bones called vertebrae.

In between each vertebra is a disc which acts as a shock absorber, and stops the bones rubbing together.

The discs are made up of a jelly like substance, which is protected by a tough, fibrous outer casing.

The spine is supported by specialised back muscles, and an array of ligaments, nerves and tendons.

What causes back pain?
As the spine is such a complex structure, it can often be difficult to pin down the exact cause of back pain.

Probably the most common cause is when the back muscles begin to spasm.

This can often occur after strenuous activity, or can be a reaction to repetitive strain.

The muscle is damaged, or irritated, and goes into spasm to protect the area from further injury.

This can be extremely painful, and can lead to muscle tears if undue stress is exerted.

Other causes of back pain include arthritis, fractures and infections.

In many cases experts believe back pain is a manifestation of emotional upset, rather than a physical problem.

More serious causes can include a prolapsed disc, or degenerative diseases of the spine - but these are relatively rare.

Are certain parts of the back more vulnerable?

Yes. The lower - or lumbar - region of the back is particularly prone to injury.

This because it bears the entire weight of the upper body, and is twisted and bent more than other parts.

As a result it inevitably suffers more wear and tear.

Why is back pain on the increase?
Experts believe that a major factor is the modern tendency to lead a sedentary lifestyle, both at work and home.

Spending long stretches of time sitting in one position - often with the back not properly supported - is not good for the spine.

The reliance on comfy soft furnishing may seem appealing - but often it encourages us to adopt a poor posture.

Back pain is much less common in places such as India, where many more people are used to sitting on the floor, which is thought to allow the back muscles to find their own natural position.

What is the treatment?
For most cases of back pain the only treatment is pain relief, often through the use of non-steroidal anti-inflammatory drugs such as aspirin.

Physiotherapy, heat therapy, massage and hydrotherapy can help.

How can you minimise the risk?
The spine is naturally curved into an S shape. The best way to keep it healthy is to try to maintain this shape as much as possible.

This is particularly important when performing tasks, such as lifting, that carry an increased risk of injury.

Strengthening the back muscles, keeping fit by taking regular exercise, and maintaining a healthy weight can all help to minimise the risk of back pain.

It is also important to have a mattress that properly supports the body while you are asleep.

If you do have a bad back probably the worst thing you can do is take to your bed.

Experts believe that it is best to stay as active as you possibly can.

Could there be another explanation for back pain?
Some lumbar and lower spinal pain is caused by patients having one leg longer than the other.

This puts the pelvis out of alignment causing pain, which without correction leads to long term compensatory problems such as back pain.

In this case it might be wise to consult a podiatrist who will measure the patient's limbs and if required provide either an orthoses - an orthopaedic appliance used to support, align, prevent, or correct deformities - or arrange to modify the patients shoe to correct the difference.
 
Thanks X-paster...I too had suffered back pain for long time but exercise helped alot.
 
Exercise ni kweli zinasaidia sana. Lakini ni aina gani ya mazoezi yanayofaa ili kuondoa back pain?
 
How to Treat Back Pain

Chronic lower back pain is increasingly common partly due to increased incidence of obesity and also due to improper sleeping postures, especially with the increasing use of soft mattresses.

Difficulty: Moderately Easy

Things You'll Need:
Firm mattress
Weight reduction
Heating pads
Medications (****, ****, ****, soma, naproxen etc)

 1. How to Treat Back Pain
 2. Step 1
  Improper positioning of spine while you are asleep contributes to chronic lower back pain. Soft mattresses fail to maintain a normal curvature of the spine while you are asleep. This results in pinching of nerves between the spinal bones (vertebrae). Firm mattress provides a good support to your back bone while you are asleep.
 3. Step 2
  Obesity is an important cause of chronic lower back pain. It is easy to understand its relationship with the pain: the more you weigh, the more strain this will put on your backbone. In fact obesity not only puts extra load on your spine but also the other weight bearing joints such as knees, hips and ankles. This is the reason why these joints get involved frequently in overweight people. Mechanical stress erodes the cartilage that covers and protects the two bone surfaces that are in contact with each other in a joint. Losing weight is therefore key to management of back pain
 4. Step 3
  Heat therapy can alleviate pain. I recommend doing it every day at least for 30 minutes. Heat causes local vasodilation that increases the blood flow to the inflamed tissues. This helps to flush out the inflammatory substances that are collected in the inflamed bones and muscles. Many of these substances are pain mediators.
 5. Step 4
  Muscle rubs also work by the same mechanisms as heat therapy does. Rubs however cause vasodilation by reflex mechanisms.
 6. Step 5
  A significant portion of the back pain is due to the spasm of back muscles. Muscle stretching techniques may be used to gently relax the tight muscles. A manual massage may also do the same trick.
 7. Step 6
  Medications usually prescribed for chronic lower back pain are **** or ****, ****, soma, ibuprofen, naproxen, meloxicam, other narcotic medications and more. All of these should be taken in consultation with your health care provider.

Read more: How to Treat Back Pain | eHow.com How to Treat Back Pain | eHow.com
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom