- Thread starter
- #41
Zanaki
mimi nimeuliza swali nani zaidi?
sikusema kuwa Chifupa ni zaidi ya Mbowe, nimeuliza swali nataka majibu yenu.
Unadanganya watu humu kuwa Mbowe kapata uenyekiti kwa juhudi zake, jee hujui kama Mtei ni baba mkwe wake? na ndiye aliyemrithisha hicho kiti?
unasema tuwe constructive halafu unaleta story za Mume wa Chifupa na mkwa wa pili. jee zinahusu nini hapa?
habari ya akina Nchimbi au komba haina nafasi hapa. je nilete za mke wa mbowe?ni file zima.
lakini kwa vile hapa tunajadili watu wanaotuongoza sioni haja ya kwenda hadi kwenye familia zao kama ufanyavyo wewe Zanaki!
usilete uongo mtu apewe helkopter na atie mafuta tu? basi rudisheni pesa mlizochukua conservative?
wewe unasema mmetia mafuta tu, huko juu chadema mwenzio Eric, anasema zimetumia milioni mia nane.
tumuamini nani?