Ndege zetu sijazikubali sana ila kuhusu ngazi kama umesafiri sana nadhani sio issue sana maana ndege haisafiri na ngazi bali ngazi zinaakuwepo airport... Umefanya utafiti kuwa huo ni uwanja gani wa ndege?
Kaka kama utashindwa kwa hiyo fuel consumption basi nunua passo au ist... Maana Voltz ni moja kati ya gari zinazokula mafuta kidogo kwa gari zenye ukubwa huo... Nimewahi kuitumia hiyo gari hapa Dar though ukweli haikuwa ya kwangu nikaja kununua Altezza, ndugu yangu nunua Voltz kama unaogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.