Jinsi ya kujilinda na vibaka side mirrors

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,781
19,326
13507261_10154438234835757_7176265845908113205_n.jpg
 
Mirror za pembeni ni side mirrors na ya ndani ni driving mirror... Gari haijawahi kuwa na site mirror
 
weka side mirror za kuchomoka ukipak unazichomoa like mr bean kuchomoa uskani.
 
No bro, hizi mbili za nje zinaitwa side mirrors. Najua watanzania wengi tunamix hii kitu.

Watanzania wanapenda sana kujifanya wanajua utakuta mtu anasema Nairobi fly wakati hakuna kitu kama icho Bali ni narrow bee fly

Yaani mnaweza mkabishana mpaka mkagombana

Au jitu zima linasema nimekudip badala ya kubeep
 
Usinikumbushe kuna mshkaji kamwambia mzungu, "I am sitting Vingunguti". Sasa tukaanza kucheka acha aanzishe zengwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom