Duu,kwa hiyo unataka akuletee hadi mchele kilo mbili mlangoni kwako kila siku? Alichonisaidia mimi mpaka sasa nikienda hosptalini napata dawa na natibiwa bila fyongo,watoto wanasoma bure, miundombinu ys barabara na majengo mbalimbali inazidi kujengwa, walals hoi kwa sasa hatunyanyaswi mitaani na walokuwa nacho,kila idara na kils ofisi serikalini nikienda nahudumiwa kwa haki bila zengwe, walokuwa wakikwpa kulipa kodi kwa sasa wanalipa na kuongezeka kwa huduma za jamii kutokana na ongezeko la mapato mf:mdogo nenda leo mhimbili,watu hawavunji sheria sahz kwa kutumia vyeo vyao hivyo kaleta usawa kwa wote kwani hakuna anayevunja sheria na kusema mimi ni mkubwa flani kwa lengo la kuachiwa,mf:mzuri muulze mama wa Mh mahiga na wengine wengi,ujangili umepungua kama si kuisha kabisa na mambo mengine meeeeengi sana. Uliza lingine. Nadhani kwa swali lako hilihili ukilipindua ns kuukiza upande wa pili kwa aliyegombea toka ccm B kwamba wanaompenda kafanya nini hadi sahz tutaanza kumulika kwa tochi kuwatafuta watu hapa.