Recent content by Bernie Fikiri

  1. Bernie Fikiri

    Natafuta mume

    Shida kwangu ni pombe tu, hayo mengine hayajanishtua. Elimu nimerithi vyeti na navitumia fresh tu.
  2. Bernie Fikiri

    Lukuvi akesha ofisini akitatua kero za ardhi

    Nafanansha na jinsi mambo yanavyokuwa pale madaktari bingwa(enzi hizo wakitoka nchi za nje) kuja kutoa huduma kwa magonjwa maalumu. Huwa hospitali walizofikia zinakuwa busy usiku namchana. Huwa natamani wabaki muda mrefu ili kutoa huduma kwa wagonjwa wengi zaidi. Nadhani hata yeye aliamua...
  3. Bernie Fikiri

    Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

    Navyojua mimi Roman Reigns anajua anachokifanya katika mieleka. Anajua kutengeneza na kuikuza tittle yake kwa jitihada zake binafsi. Anajituma na anayo nidhamu ya kazi. Ndiyo maana huwezi kuona mabifu ya kijinga kwake. Na wengi hudai matokeo yanapangwa....... Nionavyo mimi ni kwamba kuna...
  4. Bernie Fikiri

    Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Mhenga aliyesema Uhakiki utaendelea mpaka mhakiki ahakikiwe Post sent using JamiiForums mobile app
  5. Bernie Fikiri

    Mwanaume kifua na six packs na ndo ugonjwa wa kinadada wengi

    Kuwa na hayo madude halafu unaishi kwa Baba na Mama.... Sent from my C1605 using JamiiForums mobile app
  6. Bernie Fikiri

    Haya sasa! wahenga wote tuwakusanye Hapa!

    "Vitamu vinaua" Hadi leo naogopa vitamu. Sijui wahenga walikosea ilikuwa kinyume chake??
  7. Bernie Fikiri

    Wahenga walisema, kuna wanawake wenye mikosi/Gundu/ Nuksi. Je hii ni kweli?

    Labda,nasikia tu kama wewe. Ila unaweza kuzaliwa bila mikosi na ukaitafuta kwa matendo yako. * Fikiria wale wauaji wa vikongwe kanda ya ziwa. *Fikiria mambo ya Kibiti. *Umeshawazia masuala ya ushoga? *Fikiria suala la ushirikina na story zao za kula nyama za watu. *Kuna wale tunaosikia...
  8. Bernie Fikiri

    Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    Ulikosea kumkubalia mumeo tena mkiwa na lengo zuri la kuokoa pesa ili mjenge...kumbe hutaki(tabia isiyo njema) Jichunguze tabia hiyo na kisha usiioneshe kwa ndugu wa mumeo. Ukiweza hilo umefanikiwa. Waoneshe upendo na imani ili wafanye hivyo pia kwako."Children react to kind treatment by...
  9. Bernie Fikiri

    ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

    Mashine iligoma ku-type kila walipotaka kuchapisha namba moja(_6) ili kuifanya kuwa 16,sasa ilibkuokoa muda ikabidi kuweka 0 na ndiyo maana imekuwa 6%. Ila sisi tulio huku Jamhuri ya Uchumwaji tunashangilia maana tunaona ni kama huruma ya Mchumaji. Ingawa navyoona haina madhara kwa mchumaji...
  10. Bernie Fikiri

    TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    Tobaa.... Sent from my Siemens C55 using JamiiForums mobile app
  11. Bernie Fikiri

    Matumizi ya "L" na "R" kwenye kiswahili

    Mura.... Pia kuna hili tatizo la matumizi ya H. Hapana=apana Hataki=ataki. Yaani shida tupu
  12. Bernie Fikiri

    Mwanaume alazwa hospitali baada ya kubakwa na wanawake 3 ambao huchukua manii na kuuza

    Mbona kama kisa hiki kina miaka mingi tangu kimetokea,au kimejirudia tena??? Haya wanawake salute kwenu. Sasa naona njemba za Mugabe zimeanza kubakwa baada ya wanawake kuchoka kubakwa. Sent from my C1605 using JamiiForums mobile app
  13. Bernie Fikiri

    Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

    1.Kabla ya kuwa padri ulikuwa mhuni wakati unadai umeingia huko katika umri wa 15 yrs! 2.Dini ya haki na kamali,nyeto uongo na lugha za ajabuajabu wapi na wapi. Huyu jamaa sijui hata kama ni Muislam wa kweli. Labda kama kuna kazi katumwa huko imekuwa ngumu..
Back
Top Bottom