Recent content by BENTA

  1. B

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

    Hivi huyu kamanda wa Dodoma bado yupo kama jibu ni ndiyo nawashauri waache kuandamana watapigwa mpaka wachakae huyu jamaa hana utani.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi wana ushindani mkubwa wa kiharakati ukilinganisha na Waafrika

    Nadhani umesahau kitu, mbona hao jamaa walipelekwa Liberia mpaka leo maendeleo ya nchi hiyo hayana tofauti na sehemu nyingine barani Afrika.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Napendekeza akimaliza suala la fao la kujitoa wafanyakazi wapate haki zao pia awaamuru watoa huduma za simu wafungulie line zote zilizofungwa kwa amri ya serikali mpaka NIDA wamalize zoezi la kutoa vitambulisho vya taifa kwa sababu watu wengi hasa vijijini wanateseka sana kwa kukosa simu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

    Naunga mkono hoja yako Mheshimiwa IGP inafaa apalekewe nakala ya hoja hii kwa hatua zaidi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza kiama kwa wanaouza dawa kwa wasio na vyeti kutoka kwa Daktari

    Lakini mfano umeenda kwa daktari kazini kwake kakuandikia dawa ambayo unatumia kwa miezi sita na siku hiyo umechukua dawa za kutosha mwezi mmoja,je ukienda duka la dawa ni lazima uwe na kile cheti cha daktari wakati majina ya zile dawa unazijua.
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

    Kufungua line za simu zilizofungiwa na makampuni ya simu mpaka NIDA watoe vitambulisho vya taifa kwa kila mtanzania. Kurejesha nyumba za serikali na za mashirika ya uma zilizouzwa. Yeye raisi atangaze hadharani kwamba haungi mkono mashoga .
  7. B

    JamiiForums Tanzania Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

    Na pia angetueleza anafanya kazi gani ili tupime kama anayosema yanalingana na mshahara wake.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Roho imeniuma nimeachwa na mwanamke nimpendaye sababu ameniona sina mwelekeo mzuri wa maisha

    Kama utaweza mtafute mchezaji wa mpira wa Manchester City anaitwa Gabriel Jesus aliwahi kupata shida kama yako ili akuambie yeye tatizo hilo alilimalizaje. Yeye kwa sasa anafurahia maisha kuliko mwanzo.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Umepitia changamoto zipi katika mifuko ya hifadhi ya jamii?

    mifuko yetu ya hifadhi ya jamii ni jipu nadhani mwenye mamlaka ya uteuzi apaleke vijana wake wa "kazi"kuchunguza kwa undani sababu za kuchelewesha wastaafu kupata mafao yao kwa wakati muafaka. Atakayepatikana na hatia atumbuliwe kwani hata ukimpeleka mtu toka uswazi leo ataona madudu ya baadhi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Simu inahitajika

    Mimi nina simu aina ya Viphone je utapenda aina hiyo? bei ni tshs 150,000 fixed kama uko tayari nitumie namba yako ya simu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Malawi inahitaji Taasisi imara ya Urais kama iliyopo Tanzania chini ya Rais John Magufuli, si kutoa chama tawala kuweka Upinzani

    Naunga mkono hoja ila Mheshimiwa awe anakubali kukosolewa pale inapobidi kwa faida ya nchi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya wa kisayansi wa Covid19 – Msaada mkubwa wa kujikinga na kuzuia maambukizi kwa wengine

    Vipi kuhusu virusi vya corona vikidondokea keyboard za ATM zetu kwa siku si itakuwa majanga tuombe sana Mungu atuepushe na janga hili.
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

    FaizaFoxy njoo haraka iwezekanavyo kuna mada inahitaji Ushauri wako.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Acha Marekani atawale dunia na kuzionea nchi masikini

    Aliyeleta huo ugonjwa ni nani na anayetengeneza dawa za katibu huo ugonjwa ni nani baada ya hapo tukipata majibu sahihi tuendelee na mada.
Back
Top Bottom