Mimi nina simu aina ya Viphone je utapenda aina hiyo? bei ni tshs 150,000 fixed kama uko tayari nitumie namba yako ya simu.Wakuu habari Smartphone inahitajika bei elekezi 120,000/= iwe infinix au tecno
Location MBEYA MJINI
Ipo infinix hot 7 laki na 90 imenunuliwa mwezi wa kwanza haina shida, pm me
Ipo infinix hot 7 laki na 90 imenunuliwa mwezi wa kwanza haina shida, pm me