Expert Judgement
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 441
- 743
"Changamoto ni changamoto tu hata iwe ndogo kiasi gani! Inahitaji ufumbuzi ili wateja wawaze kufurahia huduma"- unskilled 2020
Wakuu unapochangia kwenye hii MIFUKO ya hifadhi ya JAMII haukutani na kero zozote wakati unakatwa maana wenyewe wanakuambia Hawa wanakata kisheria, naikitokea muajiri hapeleki michango kwa wakati inakua ni kosa.
Sasa je Kama mtu amechangia kwa muda wote Tena kwa wakati maana watumishi wa serikali wanakatwa juu kwa juu, kwanini mafao mengi yanacheleweshwa lakini sababu zinakua hazina mashiko Bila kujali athari ambayo mchangiaji anaipata?
Hivi kweli katika dunia ya leo ya sayansi hii advanced unaweza kumjibu mteja kuwa fail lako halionekani kwenye system kweli? PSSSF mnatumia technology ya wapi kiasi Cha mafaili kutoonekana kwenye system? Nimekutana na jibu hili Jana mwezi ujao sijui nitakutana na jibu gani.
Je, wewe umewahi kukutana na changamoto ipi katika MIFUKO yetu hii?
Nawasilisha