Sio uzee wala nini. Nimejikuta na log in kwenye ankaunti yangu ya JamiiForums baada ya muda mrefu, najikuta naona mapichapicha.
Kuna mabadiliko mengi humu dah! Nahisi kutakuwa kwa moto sana.
Nielekezeni Jamani twende sawa.
Jambo jingine la Msingi.
Hii ni kwa Wanaume..
>Swala la kulea mtoto, Kupika na kadhalika sio Kazi ya mwanamke pekee.
Unakuta mama hayupo nyumbani kaenda kwenye mishughuliko na mtoto kabaki na baba yake nyumbani. Mtoto akajichafua kwa haja kubwa. Kwa asilimia kubwa ya wanaume utasikia akisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.