Kwa nini unamchoka mkeo? Dawa hii hapa

Kwa nini unamchoka mkeo? Dawa hii hapa

Habari za saa hizi!

Wanajamvi, Leo nimeona vyema nizungumzie swala la mapenzi ya Ndoa kwa undani kiasi.

Waswahili wanasema ndoa nyingi ni Tamu sana mwanzoni lakini zinapoendelea hufikia Uchungu uliopitiliza. Katika uchunguzi wangu nimebaini sababu kadhaa zinazo sababisha mapenzi ya ndoa kupoteza ladha.
Sababu hizo ni:

1.Unadhifu/Urembo wa awali kipindi cha uchumba hupotea.

2.Majina ya kuonyesha upendo kama vile Mpenzi, Sweetheart , Dear na kadhalika huwa adimu na wakati mwingine hupotea kabisa.

3.Kujali na kuthamini kimapenzi kunafifia: Kwa mfano enzi za uchumba mwanaume alikuwa tayari kumfungulia mkewe Mlango wa Gari lakini siku zinavyozidi kwenda haoni tena tabia kama hizo. Inafifiza mapenzi ya ndoa na kupelekea kuchokana..

4.Kumtoa out mkeo/Mmeo mara kwa mara kipindi cha uchumba havionekani mkiwa ndani ya nyumba.

Hizo ni baadhi ya visababishi ya upotevu wa ladha ya ndoa....

Siku moja mzee mmoja alinimbia Huwezi kula mahindi kila siku. Hii kauli haifai katika maisha ya Ndoa. Ulisha apa kuwa utamlinda, utamheshimu, utakuwa nae hadi kifo kiwatenganishe. Mahidi yanaweza kutumika kama Makande, Ugali au Uji.

Yanayokupasa kutenda ilikudumisha ndoa yenye furaha na Amani ni haya yafuatayo:
1.Kuwa nadhifu/Mrembo zaidi.

2.Mwite majina ya upendo kwa mfano: My lovely wife nk

3.Endelea kumjali na Kumthamini zaidi ya mtu/watu wengine wa kawaida. Na aone jinsi unavyo mthamini

4.Mtoe out mara kwa mara kwenda mbuga za wanyama, Baharini, kwenye Hotel za kifahari na kadhalika.

5. Onyesha furaha unapokuwa nae katika mazungumzo yafamilia na kawaida. Mkiwa njiani onyesha tabasamu kubwa kuonyesha kufurahishwa kutembea na mkeo/mmeo.

6. Leta mada zenye utani usio na mauzi ili kuleta vicheko muda wote ndani ya nyumba.

7. Kuwa mwepesi kusamehe na kusahau makosa ya mpenzi wako..

Kumbuka:
Mkeo/Mmeo ni Bora hivyo Mpende na Umjali kwa dhati.

UKIYAFUATILIA HAYA, FURAHA KATIKA NDOA YAKO ITADUMU DAIMA HADI KIFO.
Ok, tumekupata mkuu. Hongera sn.
 
natamani niwafunde wale wote wenye matatizo kwenye mahusiano yao na wale wanaojiandaa kuingia kwenye mahusiano natamani mno coz mi naifurahia mno ndoa yangu na tunaishi kwa furaha na amani

Miaka mingapi kaka
 
Kama uchumi unaruhusu

Ni sawa!!! lakini kwnda baharini mpaka uchumi ukubal???[/QUOTE]

Sio kila mahali kuna Bahari, naomba utambue hilo mwajf, Dodoma maeneo ya Kondoa-Goima na kuendelea, Simiyu around Mwananongu, mwanjolo; Morogoro maeneo ya Kilosa- Kimamba, Ulaya-Kilosa; Gairo around Chakware e.t.c. Upo ndugu?
 
Well said,ila point nying zmebase kwa upande wa wanaume,vp kwa wanawake?
 
Ni sawa!!! lakini kwnda baharini mpaka uchumi ukubal???

Sio kila mahali kuna Bahari, naomba utambue hilo mwajf, Dodoma maeneo ya Kondoa-Goima na kuendelea, Simiyu around Mwananongu, mwanjolo; Morogoro maeneo ya Kilosa- Kimamba, Ulaya-Kilosa; Gairo around Chakware e.t.c. Upo ndugu?[/QUOTE]

Nipo kaka... Naamini vipo vivutio vingine ambavyo sio vya gharama kupata huduma naamini mtu wa maisha ya kawaida anaweza kwenda huko na mpenzi wake.
 
Ha ha ha ha ha, Wee mgumu kweli hukubali kushindwa kabisa. Sasa nakubaliana na wewe, wanaweza kutoka kwenda sehemu yoyote nzuri ambayo wakati wakiwa ktk urafiki na uchumba walikuwa wanapendelea kwenda kurefresh.
 
Habari za saa hizi!

Wanajamvi, Leo nimeona vyema nizungumzie swala la mapenzi ya Ndoa kwa undani kiasi.

Waswahili wanasema ndoa nyingi ni Tamu sana mwanzoni lakini zinapoendelea hufikia Uchungu uliopitiliza. Katika uchunguzi wangu nimebaini sababu kadhaa zinazo sababisha mapenzi ya ndoa kupoteza ladha.
Sababu hizo ni:

1.Unadhifu/Urembo wa awali kipindi cha uchumba hupotea.

2.Majina ya kuonyesha upendo kama vile Mpenzi, Sweetheart , Dear na kadhalika huwa adimu na wakati mwingine hupotea kabisa.

3.Kujali na kuthamini kimapenzi kunafifia: Kwa mfano enzi za uchumba mwanaume alikuwa tayari kumfungulia mkewe Mlango wa Gari lakini siku zinavyozidi kwenda haoni tena tabia kama hizo. Inafifiza mapenzi ya ndoa na kupelekea kuchokana..

4.Kumtoa out mkeo/Mmeo mara kwa mara kipindi cha uchumba havionekani mkiwa ndani ya nyumba.

Hizo ni baadhi ya visababishi ya upotevu wa ladha ya ndoa....

Siku moja mzee mmoja alinimbia Huwezi kula mahindi kila siku. Hii kauli haifai katika maisha ya Ndoa. Ulisha apa kuwa utamlinda, utamheshimu, utakuwa nae hadi kifo kiwatenganishe. Mahidi yanaweza kutumika kama Makande, Ugali au Uji.

Yanayokupasa kutenda ilikudumisha ndoa yenye furaha na Amani ni haya yafuatayo:
1.Kuwa nadhifu/Mrembo zaidi.

2.Mwite majina ya upendo kwa mfano: My lovely wife nk

3.Endelea kumjali na Kumthamini zaidi ya mtu/watu wengine wa kawaida. Na aone jinsi unavyo mthamini

4.Mtoe out mara kwa mara kwenda mbuga za wanyama, Baharini, kwenye Hotel za kifahari na kadhalika.

5. Onyesha furaha unapokuwa nae katika mazungumzo yafamilia na kawaida. Mkiwa njiani onyesha tabasamu kubwa kuonyesha kufurahishwa kutembea na mkeo/mmeo.

6. Leta mada zenye utani usio na mauzi ili kuleta vicheko muda wote ndani ya nyumba.

7. Kuwa mwepesi kusamehe na kusahau makosa ya mpenzi wako..

Kumbuka:
Mkeo/Mmeo ni Bora hivyo Mpende na Umjali kwa dhati.

UKIYAFUATILIA HAYA, FURAHA KATIKA NDOA YAKO ITADUMU DAIMA HADI KIFO.

Asante sana ndugu yangu kwa post nzuri. Nimejifunza kitu na nitafanyia kazi. Mungu akubariki rafiki
 
Well said,ila point nying zmebase kwa upande wa wanaume,vp kwa wanawake?

Katika mapenzi ya ndoa kila mmoja anapaswa kuilinda ndoa yao.
Hivyo vitu kama Heshima, Adabu, Mapenzi ya kweli na Kuthamini nk. Ni muhimu kwa wote mke/mme ili kutunza ndoa.
 
Ha ha ha ha ha, Wee mgumu kweli hukubali kushindwa kabisa. Sasa nakubaliana na wewe, wanaweza kutoka kwenda sehemu yoyote nzuri ambayo wakati wakiwa ktk urafiki na uchumba walikuwa wanapendelea kwenda kurefresh.

Vyema sana ndugu....
 
natamani niwafunde wale wote wenye matatizo kwenye mahusiano yao na wale wanaojiandaa kuingia kwenye mahusiano natamani mno coz mi naifurahia mno ndoa yangu na tunaishi kwa furaha na amani

pole sana ndugu yangu , kuwa na uwezo wa kuishi na mkeo huyo kwa amani haimaanishi unaweza kuishi na kila mwanamke au wewe ni tabibu wa mambo hayo. Nakumbuka siku moja nilimuuliza mzee mmoja ambaye ameishi na mke wake hadi sasa mzee kafariki anipatie siri ya wao kuwa pamoja. aliniambia wala hajihisi kwamba ni mjuzi isipokuwa amebahatika kupata mke wanaofana na mvumilivu tu. Akaniambia amewahi kuoa mara nne and mmoja ya hizo ndoa ilidumu 3 yrs. Nyingine 4yrs, nyingine 1986-1996 10yrs and last ni hii ambayo tangu waanze ambayo ni second marriage mpaka wametenganishwa na kifo. akaniuliza kama ameshindwa kutunza 3 zingine nadhani ni funzo kubwa that sio kila mwanamke na mwanamume wanaweza kulast long.

so bado hujawa mjuzi wa kubrag around.
 
Kweli kabisa.. Kama Hawa ulikuwa ni ubavu wa Adam. Ndio maana waliishi kwa maelewano japo walimkosea Mungu.

Nahisi Babu mbavu zote tatu zilikuwa sio zake, Mbavu ya mwisho ndio ilikuwa yake.

Tuwe makini katika kuchagua tusije tukachukua mbavu za Watu. Umenipata?
 
hizo out mbona mnaongelea mapenzi ya mjini tuu na ya wenye pesa vpi sisi wa vijijini
 
Jambo jingine la Msingi.
Hii ni kwa Wanaume..
>Swala la kulea mtoto, Kupika na kadhalika sio Kazi ya mwanamke pekee.

Unakuta mama hayupo nyumbani kaenda kwenye mishughuliko na mtoto kabaki na baba yake nyumbani. Mtoto akajichafua kwa haja kubwa. Kwa asilimia kubwa ya wanaume utasikia akisema "Ngoja mama yake arudi, Atamsafisha"

Swali ni Je? Ushirikiano wa mama na baba katika kujenga familia ni kitandani pekee? La hasha. Wanapaswa kushirikiana pia katika kulea na shughuli zingine Nyumbani.

Mwanamke haolewi kwa ajili ya Kufanya shughuli za ndani. Ondoa fikra potofu.

Kama ulipokuwa Bachelor ulifua basi hata ukiowa usio tabu kufua hata kumfulia mkeo siku moja moja kuimarisha mapenzi.

Kama ulipokuwa Bachelor ulikuwa unapika basi usione shida kukata Nyanya na Vitunguu. Bayo ndio maisha ya Ndoa.
 
Utaitwa Bushoke.
 
Back
Top Bottom