Hivi ndo JamiiForums inatumikaje miaka hii?

Benjonathantz

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
237
52
Sio uzee wala nini. Nimejikuta na log in kwenye ankaunti yangu ya JamiiForums baada ya muda mrefu, najikuta naona mapichapicha.

Kuna mabadiliko mengi humu dah! Nahisi kutakuwa kwa moto sana.

Nielekezeni Jamani twende sawa.
 
Back
Top Bottom