Powel Mizengo
Senior Member
- Jan 20, 2014
- 126
- 24
- Thread starter
- #41
Na huyo mamA mkwe ukienda kunywa nae pombe tu mnadinyana
nani aliyekwambia hua naenda kunywa pombe na mamamkwe!!! Acha Uzeudu!!!
Na huyo mamA mkwe ukienda kunywa nae pombe tu mnadinyana
duniani kuna mambo
Mpe na namba ya siri ya Tigopesa, Mpesa na Bank... Ili lyf linoge.
We chizi kwelikweli!!!
Hata ungekuwa wewe ungechukua mdogo mtu manake ni msichana mwenye sifa za kutosha kuolewa kasoro hii ambayo ilkijificha ya udokozi!!!!
Unadhani watu wote tuna ubongo ulioganda kama wewe?