Recent content by BENAI

  1. B

    JamiiForums Tanzania COVID-19 vaccine recipients are suddenly testing positive for HIV!

    Mbona hao hao ulio wataja ndio wanaendeshwa kirahisi na mataifa ya magharibi!?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

    Che hakuwahi kuwa mwanaharakati, alikuwa "MWANAMAPINDUZI". Tofautisha.
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

    Ukistaajabu ya Musa. Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa? Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo. Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School. Akasema mabaya kuhusu Mwenge wa Uhuru. Alimsema sana kwa kebehi na kejeli Mh. Mkuu wa mkoa achilia mbali kusema 'Ubunge...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Pole sana kijana, tatizo hilo ni kubwa kulingana na 'Background' yako na umri. Hakuna ndoa isiyo na misukosuko lakini kila mtu ana aina ya 'misukosuko' yake. Pia waweza mwona mtu leo akiinjoi kumbe dhoruba yake inamsubiri mwaka wa7 nawa 8 wa ndoa yake. Hivyo nikuondoe hofu, sema tatizo lako...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tunalipishwa Tsh 200 kupanda Daraja la Ubungo (UDART), ili uweze kuvuka ng'ambo ya Barabara

    Uwezo wa kufikiri wa watu wetu ni mdogo, ilipasa wajue hili litaleta usumbufu kwa abiria wengine lifanyiwe kazi mapema, wanataka napo Magufuli aende?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Elewa Hoja mkuu, hakatazwi kunywa huo 'mtungi' wako unaousema, kosa ni kulewa kazini na mbaya zaidi kupeleka 'shombo' ya viroba pale mbele.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbona bendera hizi za Taifa hazishushwi usiku?

    Hivi Bendera hizi za Taifa mbona hazishushwi usiku? Au mambo yamebadirika? Maana wengine tulisoma enzi za "MwanaLumumba wa Kongo" na sasa ni 'hapa kazi tu! ' au walinzi wamelalo? Ni pale Tazara hq na jirani yake For you Sun Shine nobble life usiku huu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujitoe kifungoni

    Mkuu, umeeleza machungu yako hujasema nini tufanye ili kutoka gerezani. Umesema 'Ingelikuwa wewe ni mtawala' sasa sisi wengine je...??
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kwanini Wanajeshi...

    Hiyo namba8 inawahusu sungusungu na afande alufonsi jamii
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Balozi wa Israel nchini Ikulu leo

    Hapo kazi tu. Kama wamekuja maonesho ya mavazi hapo sawa. Mbona alikuwa akivaa hivyo hivyo na kazi zikaenda barabara zikajengwa n.k, tuyaangalie mambo ktk upeo tofauti na huo wa kumwita mshona kaunda suti za m.. m.. Mstaafu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Balozi wa Israel nchini Ikulu leo

    Waisrael hawana kwao? Rudi chekechea ukaanze tena. Israel ni nchi na Jerusalem ndio mji wake mkuu. Mbona hata watoto wadogo wanalijua hilo! ?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

    Miaka hii miwili ya mwanzo ya Mh. JPM tutashuhudia vituko vya wizi kwa taifa ambavyo havijawahi tokea popote duniani. Nyie si mlishangaa watu kubeba pesa kwenye viroba na mpaka leo hakuna aliyeadhibiwa, mkaona kontena la meno ya tembo na idadi ya tembo wetu kuisha kutoka 109,000 mwaka 2009...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amfukuza kazi katibu tawala wa mkoa wa Mwanza

    Well said ULUKOLOKWITANGA!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kupungua kwa Tembo kwa kasi kubwa

    Mauwaji ya Wanadamu wenye Albinism na Tembo ni mambo ambayo "jamaa" hawezi kuepuka lawama. Nilimshangaa JK aliposema akistaafu anaanzisha mfuko wa kusaidia tembo! Kweli umeshindwa kulinda tembo ukiwa Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama uende kusaidia Tembo uweze...
Back
Top Bottom