Mbona bendera hizi za Taifa hazishushwi usiku?

BENAI

Member
Jul 25, 2015
93
38
Hivi Bendera hizi za Taifa mbona hazishushwi usiku? Au mambo yamebadirika? Maana wengine tulisoma enzi za "MwanaLumumba wa Kongo" na sasa ni 'hapa kazi tu! ' au walinzi wamelalo? Ni pale Tazara hq na jirani yake For you Sun Shine nobble life usiku huu.
 
Back
Top Bottom