dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,956
- 9,482
Nilisiia Mashtaka ya Uhujumu Uchumi, Nijuavyo mimi hayo hayana dhamana na ni ngumu kuyageuza geuza hayo, na likifanyika hilo hii itakuwa Aibu kwa Magufuli.
Kisichowezekana mahari pengine Duniani Tanzania kinawezekana