Pamoja na kujitangaza kupitia EPL, bado hata waingereza wenyewe hawajui kama Tanzania ni nchi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamoja na kujitangaza kupitia EPL, bado hata waingereza wenyewe hawajui kama Tanzania ni nchi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by shabani, Sep 26, 2012.

 1. shabani

  shabani JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Juzi nilikuwa nasikiliza BBC idhaa ya kiswahili kukawa na mahojiano kama ya wanafunzi watatu hivi ambao wamekuja na wenzao kupanda MLIMA KILIMANJARO, kibaya zaidi walipitia KENYA na walipokuja kutaka kupanda mlima ndipo wanaambiwa itabidi twende Tanzania ili muweze kupanda, wote wakashangaa maana wao walikuwa wanajua MLIMA KILIMANJARO UPO KENYA na TANZANIA walidhani ni sehemu ya KENYA. Hivyo kwa wanaohusika wanapoitangaza TANZANIA ni vizuri wakasema TANZANIA NI NCHI vinginevyo bado WAKENYA wataendelea kutupiga BAO.
   
 2. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri wairudishe TANGANYIKA kwanza ili tuitangaze kwa mapana na marefu kwani hata waziri wa ulinzi wa Israeli aliwahi kutamka kwamba Tanzania hai exist na sijajua alimaanisha nini labda wanatutambua kama watanganyika na sio watanzania.Jina la Tanganyika linavutia zaidi kuliko Tanzania nadhani Mwalimu Nyerere alienda mchomo kwa kuibadilisha jina.
   
 3. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakenya wataongopa sana kuwa mlima upo kwao lakini hata siku moja hautakaa usogee kwao. Ingekuwa Mlima Kilimanjaro ni kama painting ya Monalisa basi tungekuwa na wasiwasi kuwa iko siku wangeuiba. Labda waje na strategy ya Malawi wadai mlima wote upo kwao au wadai nusu kwa nusu (yaani mpaka upite katikati). Ama sivyo mbinu zote watatumia lakini huyo mtalii akishafika Bongo tu atajua mlima uko wapi.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  tatizo waingereza wengi ni dumb and illiterate, muingereza mmoja alishawahi kuulizwa mji mkuu wa spain unaitwaje hakuweza kujibu japokua amekua anaenda spain karibia kila holiday...so wengi wa waingereza wanajua tz iko wapi lakini kuna wengine they r so dumb nishakutana nao sana. unaweza kumuuliza china iko wapi akakuambia iko bara la america kusini...
   
 5. shabani

  shabani JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  na ili lengo la kuongeza idadi ya watalii ni lazima kuitangaza Tanzania kama nchi badala ya kuishia tuu kusema tembelea Tanzania bila kueleza hiyo Tanzania ni nini, hata kama mlima utabaki kwetu athari ni kubwa za wakenya na lazima utambue ile ICE inaisha coz of temp.
   
 6. chash

  chash JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Tanzania wameshindwa kujimarket. Huwezi kulaumu Kenya. In the world, the highest mountain, the biggest fresh water lake, the deepest lake, the longest coastline, the biggest parks, the most animals, the most beautiful land,great islands, several wonders of the world, great mineral resources, peaceful people, most agricultural potential , cheapest labour but most unknown nation in the world. Problem ya Tanzania wananchi wanataka kutegemea serekali kila kitu. Soma humu jamvini, serekali hiki, serekali kile, umasikini serekali, kutolima serekali kila kitu serekali. Wake up guys. Serekali sasa hivi zinaweka miundombinu tu the rest ni wananchi. Hata mashirika machache ya serekali yaliobaki wanatakiwa na new world order wayauze. The Tanzania dream is bigger than the American dream right now. There is bigger potential for a Tanzanian to be rich than there is for an American. The harvest is ready kazi ni kuvuna tu! Mkishindwa waiteni wakenya au waafrika kusini mwaka mmoja tu! mjionee. If everyone does their best the country becomes the best. Jiulize wewe umefanya nini au unachangia nini Tanzania itambulike?
   
 7. shabani

  shabani JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Sasa we unadhani ni kazi na wajibu wa nani kuitangaza nchi na pia hizo mamlaka lukuki tulizonazo na zinatumia mamilioni ya sh kuwepo kwake yana kazi gani? Kama unadhani ni kazi ya kila mtu basi hakuna haja ya kuwa na mamlaka kama ngorongoro,tpdc n.k
   
 8. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chash unaakili sana hongera umetoa ukweli
   
 9. bongo-live

  bongo-live JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2016
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 824
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 80
  aisee
   
 10. leodigardcyrilo

  leodigardcyrilo JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2016
  Joined: May 17, 2015
  Messages: 1,339
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Ujumbe mzur
   
 11. FORCE NAMBA

  FORCE NAMBA JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2016
  Joined: Aug 19, 2014
  Messages: 947
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 80
  Itafanyiwa kazi
   
 12. Man Kidole

  Man Kidole Senior Member

  #12
  May 20, 2016
  Joined: Feb 2, 2015
  Messages: 199
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  mkuu naungana na ww 100%...tatizo tumezidi kuwatukiza hawa makaburu lakini ukweli ni kwamba wengi wao Kwao somo la jiografia hamna kitu kichwani
   
 13. B

  BENAI Member

  #13
  May 21, 2016
  Joined: Jul 25, 2015
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Well said Chash!
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2016
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,523
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Ina maana hawawezi hata ku google??
   
 15. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2016
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,400
  Likes Received: 10,518
  Trophy Points: 280
  Waingereza hao watakuwa ni maskini na wajinga wa kwanza wasiojua hata kutumia mitandao.

  Hata google map, search engine. Hao watakuwa waingereza kutoka kenya.
   
 16. Nyaka-One

  Nyaka-One JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2016
  Joined: Oct 27, 2013
  Messages: 1,668
  Likes Received: 1,401
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu. Mimi hapa hata nikitaka kwenda mkoa ambao sijawahi kufika lazima nafanya kudadisi angalau nijue baadhi ya mambo muhimu kuhusu mkoa huo.

  Sasa iweje wao wanatembelea nchi fulani wanashindwa kuwa inquisitive kiasi hicho?
   
 17. Simba Mangu

  Simba Mangu JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2016
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mfano mzuri hii ya juzi INDABA South Africa banda la Kenya lilikuwa mwanzo la Tanzania lilikuwa mwisho shida kubwa ni TTB hawajui wafanyalo wanaacha kuchukua watu makini wahusika na utalii wenyewe wanapeleka watu wa mshahara ambao hawajali nchi kukosa wageni wao wanajua mshahara watapata tu.,Tizama karibu Fair Arusha inakwenda wapi Kili fair,Tuna kitu kinakuja kinaitwa Tanzania Tour Guide Awards,tuone tunaenda wapi sasa.
   
 18. T

  Tulimumu JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2016
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 7,455
  Likes Received: 2,945
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu waingereza waliitawala Tanganyika na sio Tanzania. Nadhani Tanganyika ikirudi dunia nzima wataijua kwani ndiyo nchi ya asili. Utashangaa Zanzibar inajulikana duniani kote lakini Tanzania sehemu nyingine hawajawahi kuisikia
   
Loading...