Kinachokuwa challenge sio ushauri wa cabinet, ni vitendo vya uvunjifu wa sheria mf seth sio raia, ameidanganya Brela-hiyo ni jinai na haikingwi wala kuhusiana na cabinet
Yah wako poa.. ninanunua mm GB 7 kwa sh ef 5 mwez duration yake. Zile social nets ni free hadi insta-unlike other nets ambao wao ni WTF tu- na hata data bundle ikiisha, unaendelea kupata social nets hadi expiring ya muda
At least umenirudisha kwenye mstari.. mm ni lawyer! Kwenye computer nina vicertificate vya basic & advanced computer app na maintainace! Sasa baada ya kuwa interested na Forex nimeanza kusoma kitabu cha brian na kuna App moja ya tuitorial. Sasa nilipoona hizi Python, binary, programing c c...
Dah! Huu uzi niliuona lakini nikaupuuzia. Imenichukua masaa ma4 kusoma post yako ONTARIO pamoja na asilimia 90+ ya comments za wadau. Nimejuta kwa nini sikusoma juzi. Nimeisubscribe hii thread.. najaribu kuona kama naweza kukufollow pia.. niko mwanza. Na ninaomba kuwa miongoni mwa hao 3
Follow this link to join my WhatsApp group: TUONGEE VITABU
Group hili dhumuni ni Mapitio juu ya vitabu na mijadala itatokana na kitabu hicho!.
Member yyt yuko huru kufanya uchambuzi na mapitio juu ya kitabu akipendacho.
Hatuhitaji mijadala inayokashifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.