Mh! Ukiyastaajabu ya Mussa utayaona.....

Mh! Ukiyastaajabu ya Mussa utayaona.....

Akiwa Zbar alisema yeye katika serikali yake hataingiza mpinzani kabisa. Ghafla kasahau akamtea Kitila ACT kuwa katibu mkuu wa wizara ya maji
 
Ukidifiwa haimanishi ukivurunda utabaki salamA
Acheni unafiki nyie wa tz huyu jamaa alikuwa ni mbovu mda mrefu ipo siku upinzani mta ukubali tuu.wapinzani washalipigia kelele sana jambo hili leo ndo ametumbuliwa mmejua kama hafai? Tutumie akili walau zakuzaliwa wa tz wenzangu unafiki ndo unatufiksha hapa tulipo.
 
Unafiki uko wapi sasa au bado hufahamu maana ya neno lenyewe? Kwani alipoongea haya ripoti ya jaji Mruma ilikuwa imeahatoka achilia mbali kuundwa hiyo tume?
Kuitete ccm mpaka ujitoe fahamu.ivi ndo mmejua leo kuwa tulikuwa tunaibiwa?muhongo ashapigiwa kelele sana juu ya huu mchanga nawapinzani lakini ccm walpga makelele nakuonekana wapinzani silolote.kwa nn wa tz ni vigeugeu sana?
 
Akiwa Zbar alisema yeye katika serikali yake hataingiza mpinzani kabisa. Ghafla kasahau akamtea Kitila ACT kuwa katibu mkuu wa wizara ya maji

Kwa uelewa wako Prof Kitila anaweza akawa mpinzani sio!!!!!
 
Back
Top Bottom