Katiba: Ibara ya 54 inazipa Kinga Escrow na Makinikia kutokushtakiwa Mahakamani

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,833
2,000
Tufikirie kwamba Baraka za Escrow na makinikia zilitokana na ushauri wa Baraza la Mawaziri kwa Rais na Rais alikubali. Basi Ibara ya 54 (5) ya Katiba ya Tanzania, inawakinga wote waliohusika. Soma mwenyewe mpaka mwisho

Baraza la Mawaziri na Serikali
Baraza la
Mawaziri
Sheria ya
1984 Na.15
ibara 9
Sheria Na.4
ya 1992 ib…
Sheria Na.34
ya 1994 ibara
12
54.-(1) Kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambalo wajumbe
wake watakuwa ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa
Zanzibar na Mawaziri wote.

(2) Rais atahudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri na ndiye
atkayeongoza mikutano hiyo. Na endapo Rais hayupo basi
mikutano itaongozwa na Makamu wa Rais na kama wote wawili
Rais na Makamu wa Rais hawapo Waziri Mkuu ndiye ataongoza
Mikutano hiyo.

(3) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara ya 37(1) ya
Katiba hii, Baraza la Mawaziri litakuwa ndicho chombo kikuu cha
kumshauri Rais juu ya mambo yote yanayohusika na utekelezaji
wa madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, na
litamsaidia na kumshauri Rais juu ya jambo lolote
litakalowasilishwa kwenye Baraza hilo kwa mujibu wa maagizo
maalum au maagizo ya jumla yatakayotolewa na Rais.

(4) Mwanasheria Mkuu wa Serikali atahudhuria mikutano yote
ya Baraza la Mawaziri na atakuwa na haki zote za mjumbe wa
mikutano hiyo isipokuwa hatakuwa na haki ya kupiga kura katika
mikutano hiyo.

(5) Suala kama ushauri wowote, na ni ushauri gani, ulitolewa
na Baraza la Mawaziri kwa Rais, halitachunguzwa katika
mahakama yoyote.

Tanzania tuna safari ndefu sanaaa
 
Ben Moha

Member
Apr 27, 2017
51
125
Kinachokuwa challenge sio ushauri wa cabinet, ni vitendo vya uvunjifu wa sheria mf seth sio raia, ameidanganya Brela-hiyo ni jinai na haikingwi wala kuhusiana na cabinet
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,042
2,000
Tufikirie kwamba Baraka za Escrow na makinikia zilitokana na ushauri wa Baraza la Mawaziri kwa Rais na Rais alikubali. Basi Ibara ya 54 (5) ya Katiba ya Tanzania, inawakinga wote waliohusika. Soma mwenyewe mpaka mwisho

Baraza la Mawaziri na Serikali
Baraza la
Mawaziri
Sheria ya
1984 Na.15
ibara 9
Sheria Na.4
ya 1992 ib…
Sheria Na.34
ya 1994 ibara
12
54.-(1) Kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambalo wajumbe
wake watakuwa ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa
Zanzibar na Mawaziri wote.

(2) Rais atahudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri na ndiye
atkayeongoza mikutano hiyo. Na endapo Rais hayupo basi
mikutano itaongozwa na Makamu wa Rais na kama wote wawili
Rais na Makamu wa Rais hawapo Waziri Mkuu ndiye ataongoza
Mikutano hiyo.

(3) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara ya 37(1) ya
Katiba hii, Baraza la Mawaziri litakuwa ndicho chombo kikuu cha
kumshauri Rais juu ya mambo yote yanayohusika na utekelezaji
wa madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, na
litamsaidia na kumshauri Rais juu ya jambo lolote
litakalowasilishwa kwenye Baraza hilo kwa mujibu wa maagizo
maalum au maagizo ya jumla yatakayotolewa na Rais.

(4) Mwanasheria Mkuu wa Serikali atahudhuria mikutano yote
ya Baraza la Mawaziri na atakuwa na haki zote za mjumbe wa
mikutano hiyo isipokuwa hatakuwa na haki ya kupiga kura katika
mikutano hiyo.

(5) Suala kama ushauri wowote, na ni ushauri gani, ulitolewa
na Baraza la Mawaziri kwa Rais, halitachunguzwa katika
mahakama yoyote.

Tanzania tuna safari ndefu sanaaa
Unatuambia haya yattatusaidia nini kamanda. Unapoteza wakat wako bure. Sisi tumeshakamata mwizi basi. Tunasubiri mchakato ufanyike tulipwe baaassiii
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,439
2,000
Tufikirie kwamba Baraka za Escrow na makinikia zilitokana na ushauri wa Baraza la Mawaziri kwa Rais na Rais alikubali. Basi Ibara ya 54 (5) ya Katiba ya Tanzania, inawakinga wote waliohusika. Soma mwenyewe mpaka mwisho

(5) Suala kama ushauri wowote, na ni ushauri gani, ulitolewa
na Baraza la Mawaziri kwa Rais, halitachunguzwa katika
mahakama yoyote.

Tanzania tuna safari ndefu sanaaa
Mkuu tajirijasiri, you've missed the point, kitu ambacho hakihojiwi na mahakama, ni minutes za cabinet, na hata mawaziri wanakula kiapo cha kutotoa siri za cabinet, nini kilichozungumzwa au kilichoshauriwa, lakini maelekezo yohyote ya cabinet yanapotolewa kwa ajili ya utekelezaji, sio siri tena na yanahojika mahakamani!.

Paskali
 
tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,833
2,000
Mkuu tajirijasiri, you've missed the point, kitu ambacho hakihojiwi na mahakama, ni minutes za cabinet, na hata mawaziri wanakula kiapo cha kutotoa siri za cabinet, nini kilichozungumzwa au kilichoshauriwa, lakini maelekezo yohyote ya cabinet yanapotolewa kwa ajili ya utekelezaji, sio siri tena na yanahojika mahakamani!.

Paskali
Pascal nisaidie kutofautisha minutes za Baraza la Mawaziri na utekelezaji wa maazimio ya Baraza la Mawaziri.
 
kg1

Senior Member
May 27, 2017
152
225
Tufikirie kwamba Baraka za Escrow na makinikia zilitokana na ushauri wa Baraza la Mawaziri kwa Rais na Rais alikubali. Basi Ibara ya 54 (5) ya Katiba ya Tanzania, inawakinga wote waliohusika. Soma mwenyewe mpaka mwisho

Baraza la Mawaziri na Serikali
Baraza la
Mawaziri
Sheria ya
1984 Na.15
ibara 9
Sheria Na.4
ya 1992 ib…
Sheria Na.34
ya 1994 ibara
12
54.-(1) Kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambalo wajumbe
wake watakuwa ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa
Zanzibar na Mawaziri wote.

(2) Rais atahudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri na ndiye
atkayeongoza mikutano hiyo. Na endapo Rais hayupo basi
mikutano itaongozwa na Makamu wa Rais na kama wote wawili
Rais na Makamu wa Rais hawapo Waziri Mkuu ndiye ataongoza
Mikutano hiyo.

(3) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara ya 37(1) ya
Katiba hii, Baraza la Mawaziri litakuwa ndicho chombo kikuu cha
kumshauri Rais juu ya mambo yote yanayohusika na utekelezaji
wa madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, na
litamsaidia na kumshauri Rais juu ya jambo lolote
litakalowasilishwa kwenye Baraza hilo kwa mujibu wa maagizo
maalum au maagizo ya jumla yatakayotolewa na Rais.

(4) Mwanasheria Mkuu wa Serikali atahudhuria mikutano yote
ya Baraza la Mawaziri na atakuwa na haki zote za mjumbe wa
mikutano hiyo isipokuwa hatakuwa na haki ya kupiga kura katika
mikutano hiyo.

(5) Suala kama ushauri wowote, na ni ushauri gani, ulitolewa
na Baraza la Mawaziri kwa Rais, halitachunguzwa katika
mahakama yoyote.

Tanzania tuna safari ndefu sanaaa
Mwizi wewe hivyo vifungu kawafundishe wazungu watanzania tunataka mali zetu kwa kutumia vifungu mbadala!
 
Atubela

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
741
1,000
Wakati wanahukumiwa Mramba na Yona hivyo vifungu havikuwepo?
Aliyekukalilisha hivyo vifungu, mwambie akutafsirie.
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
206,658
2,000
Tufikirie kwamba Baraka za Escrow na makinikia zilitokana na ushauri wa Baraza la Mawaziri kwa Rais na Rais alikubali. Basi Ibara ya 54 (5) ya Katiba ya Tanzania, inawakinga wote waliohusika. Soma mwenyewe mpaka mwisho

Baraza la Mawaziri na Serikali
Baraza la
Mawaziri
Sheria ya
1984 Na.15
ibara 9
Sheria Na.4
ya 1992 ib…
Sheria Na.34
ya 1994 ibara
12
54.-(1) Kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambalo wajumbe
wake watakuwa ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa
Zanzibar na Mawaziri wote.

(2) Rais atahudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri na ndiye
atkayeongoza mikutano hiyo. Na endapo Rais hayupo basi
mikutano itaongozwa na Makamu wa Rais na kama wote wawili
Rais na Makamu wa Rais hawapo Waziri Mkuu ndiye ataongoza
Mikutano hiyo.

(3) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara ya 37(1) ya
Katiba hii, Baraza la Mawaziri litakuwa ndicho chombo kikuu cha
kumshauri Rais juu ya mambo yote yanayohusika na utekelezaji
wa madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, na
litamsaidia na kumshauri Rais juu ya jambo lolote
litakalowasilishwa kwenye Baraza hilo kwa mujibu wa maagizo
maalum au maagizo ya jumla yatakayotolewa na Rais.

(4) Mwanasheria Mkuu wa Serikali atahudhuria mikutano yote
ya Baraza la Mawaziri na atakuwa na haki zote za mjumbe wa
mikutano hiyo isipokuwa hatakuwa na haki ya kupiga kura katika
mikutano hiyo.

(5) Suala kama ushauri wowote, na ni ushauri gani, ulitolewa
na Baraza la Mawaziri kwa Rais, halitachunguzwa katika
mahakama yoyote.

Tanzania tuna safari ndefu sanaaa
Haijasema maamuzi bali ushauri ndiyo hauwezi kuchunguzwa na mahakama yoyote

Tuweni waangalifu tunaposoma hizi sheria
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom