Recent content by Below 40

  1. Below 40

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi internet ikizimwa tena siku za usoni, umejipangaje?

    Website yao inasema otherwise au ndio clickbait?
  2. Below 40

    JamiiForums Tanzania Tweet za Abdul Ameir zaleta taharuki huko Twitter

    Huyo ni mzanzibari not surprised
  3. Below 40

    JamiiForums Tanzania Gen z wanasema tarehe 9 December wanakuja na silaha za moto

    Hao jamaa vichwa vigumu hawawezi kuelewa only a coup can save this failed state
  4. Below 40

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Risasi dawa yake risasi nyingi
  5. Below 40

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wachezaji 7 wa mpira (chini ya Miaka 20) wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa majumbani mwao

    Mwanangu alikua ametoka tu kupack gari ya kazini 😭😭
  6. Below 40

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi siku hizi Aggrey Marealle?

    Kuna kibao alitajwa na mtoto wa dandu nilikua najiuliza sana ni nani afadhali wahenga mmefafanua kidogo
  7. Below 40

    JamiiForums Tanzania Anime

    Akaza ni habari nyingine
  8. Below 40

    JamiiForums Tanzania Anime

    Ni kweli ulichoandika sikupingi ni vile tu mimi nilikua na expectations zangu ndio maana niliona vile, Cheki hiyo steins gate you'll never be disappointed
  9. Below 40

    JamiiForums Tanzania Anime

    Imeisha vibaya sema ila ile battle ya Kira na light ni noma sana. Angalia na steins gate pia
  10. Below 40

    JamiiForums Tanzania Anime

    Hii ni ile ya 2023 kuna nyingine inatoka January, Humo kuna action kali sana
  11. Below 40

    JamiiForums Tanzania Anime

    this one was cooked 🔥🔥🔥 9/10
  12. Below 40

    JamiiForums Tanzania Anime

    Episode 1 imetoka leo
  13. Below 40

    JamiiForums Tanzania Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Nyoka amesalitiwa na nyoka wenzake
  14. Below 40

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso

    Ilikua 2018 kama sikosehei hivi sikumbuki vizuri
  15. Below 40

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso

    Niliwahi kutamani kipindi Everton wamekuja ila hata sikwenda
Back
Top Bottom