AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,605
- 23,334
...Ni yeye nimeikagua hiyo account imejaa
Picha za Kikwete, Assas, Samia kuanzia mwaka 2015
Nyuma ya hapo jamaa alikuwa ni punga
Msitupe LULU ZENU CHINI YA NGURUWE WASIJE WAKAGEUKA NA KUZIKANGAGA NA KUWALALUENI..nyinyi mlitupa lulu zeni chini ya SA100 na RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI, ZUNGU ,NK na sasa Wamegeuka na kuzikanyaga na kukulalueni ....Mlipo kuwa mna mshabikia na kushabikia upumbavu wa SA100 haya ndiyo matunda yake ....ni nyinyi mlio mpa nguvu huyo samia kwa kumshabikia katika kila upumbavu....siku zote mpumbavu ujifunza kwa uchungu na maumivu na hasara kubwa sana kwa sababu siku zote mpumbavu upractice upumbavu wake kwenye maisha.Kuna mjadala umeibuka kwenye mtandao wa twitter au X kuhusu tweets/posts za Abdul. Hizi ni baadhi hapa chini: kazi kweli kweli.
Kwa hii tweet hapa chini: Je ni yeye tumdhaniaye?? 😆
Wewe unaye watetea ndio kichaa zaidiKama ni yeye atakuwa na matatizo ya akili
We unaongelea sasa hivi angalia muda wa post.Ila hapo pa mama samia ana taka namba yake alipoteza naona uongo samia akitaka namba ya MO kuipata sio ngumu ana wezekana akawa sio yeye kwa mtazamo wangu
Chawa umewaza weee ukaona daah sio kweli,sina cha kutetea hapa! Ukaona tu uongee kwa upoleee mamiyakee! Hilo ni punga pyuaa qmaninahDah! Kuna wakati mwingine unaweza usiamini unachokiona. Anyway, kama alikuwa ana mienendo hiyo natumaini kaacha au anapambana kuacha. Ni kweli account ni yake.
Kwa muonekano wake huyo Dully, mbona sioni km ni basha? Anaonesha yeye ndo Analiwa.
Kumbe kweli nae yuko ktk industry, tena hajifichii, yuko wazi waziii.
Duuuh mabwakuuuu!!!
Natoa wito akamatwe haraka!Toto la Samia_wa_Sinza
Ni washamba wa mambo, the wannabesSijui kwanini aliamua kujiexpose hivi
Kama ni kweli
Wewe mpuuzi kuwa na heshima.Chawa umewaza weee ukaona daah sio kweli,sina cha kutetea hapa! Ukaona tu uongee kwa upoleee mamiyakee! Hilo ni punga pyuaa qmaninah
Kujiexpose vipi? Hizo ni tweet za muda mrefu kabla hata hawajawa na nafasi waliyonayoSijui kwanini aliamua kujiexpose hivi
Kama ni kweli
kwamba walihack 2012?Michezo ya mitandaoni tu.hacked🚶🚶🚶.
ni 2012 huko ndo aliomba NambaIla hapo pa mama samia ana taka namba yake alipoteza naona uongo samia akitaka namba ya MO kuipata sio ngumu ana wezekana akawa sio yeye kwa mtazamo wangu