PostGE2025 Hivi internet ikizimwa tena siku za usoni, umejipangaje?

PostGE2025 Hivi internet ikizimwa tena siku za usoni, umejipangaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa uzoefu wako. Hizo siku tupo gizani walikuwa wana operate? Yani walionunua huduma kwao waliendelea kunufaika na internet hata baada ya amri?
Ndio. Walikuwa wanadunda kama kawaida. Niliongeaga nao 2022, nikajuta kwa nini sikuvuta internet mapema.
 
Hapana. Labda ungeelewa tu wanavyo operate. Ukienda hapa Konnect - Satellite internet Tanzania utagundua bei zao zinaanzia 70,000 kwa mwezi (sahivi natumia voda, nalipia 115,000 kwa mwezi kwa mbps 20). Hapo mchawi tu ni initial setup fee, ambayo ni kama 1.2m (na kuna offer ya internet miezi 11, nafuatilia kama bado ipo)
Bei zao ndio kisanga,
10 MBPS 375K
30 mbps 970K
Hizo bei ni kwa mwezi sijui kwanini bei imekuwa juu hivyo
 
Ufafanuzi pls,
Hao Konnect Tanzania wanafanyaje? Ni kama vpn, au?

Kama wapo ndani ya Tz, wakitoa huduma wakati wa shutdown Mafwele na Abdul hawatawatia nyavuni??
Ntaandika uzi mwingine kuhusu packages zao na cost zote. Napanga kuinstall kufikia January, so ntatoa uzoefu wangu mwenyewe. Ila internet ikifungwa bado wanakuwa hewani (kama ambavyo TV ziliendelea kufanya kazi wakati ambapo internet ilizimwa. Na media za kimataifa kama al-jazeera waliendelea kustream. Na pia kuna wabongo waliendelea kupata internet hata kupitia hizo zilizozimwa, maajabu).
 
Kabla sijawatembelea. Naomba unifahamishe kama waliendelea kutoa huduma hata baada ya amri kwenye zile siku ngumu tulizopitia
Ndio. Internet yao haikukata. Ni kama vile TANESCO wakiamua kuzima umeme nchi nzima ukiwa na solar bado utatembea. Labda polisi waamue kuwa huruhusiwi kuwa na mwanga nyumbani kwako...
 
Hawa wakipewa amri ya kuzima data, hawatofanya?
Wakati wa katazo walikuwa wakitembea, so walitupa picha ya kilichokuwa kikiendelea. na pia watanzania wengi hawana elimu ya satellite internet, kwa hiyo serikali haikuwa na wasiwasi sana.
 
Ilikuwaje hadi taasisi kubwa nazo zilikosa Internet ilihali wao kwenye maeneo yao huwa wanafunga ma-dish maalumu tofauti na raia tunavyoifikia Internet. Je, yale ma-dish huwa yanakamata mawimbi ya Internet kutokea wapi hadi wakumbwe na blackouts ambazo huwa. zinawalenga raia?.
Actually taasisi za serikali zinatumia internet ya TTCL, sio ya satellite. So, mkonga wa TTCL ulipokata, na wao pia walikinywea.
 
Me nilikuwa hapahapa nchini, yes kuna members wapo nje, ila ilikuwaje Server za JF ziliendelea kufanya kazi ya kupokea contents ilihali Internet ilizimwa?.
Server za JF zipo nje ya TZ (wangekuwa humu hata contents zingeshafutwa). Na kuna watu walikuwa nje walikuwa wanapata internet.
 
Hapana. Labda ungeelewa tu wanavyo operate. Ukienda hapa Konnect - Satellite internet Tanzania utagundua bei zao zinaanzia 70,000 kwa mwezi (sahivi natumia voda, nalipia 115,000 kwa mwezi kwa mbps 20). Hapo mchawi tu ni initial setup fee, ambayo ni kama 1.2m (na kuna offer ya internet miezi 11, nafuatilia kama bado ipo)
Ngoja nichungulie, mi nilitizama kwenye akaunti yao ya insta nikaona bei kisanga
 
Hapana. Labda ungeelewa tu wanavyo operate. Ukienda hapa Konnect - Satellite internet Tanzania utagundua bei zao zinaanzia 70,000 kwa mwezi (sahivi natumia voda, nalipia 115,000 kwa mwezi kwa mbps 20). Hapo mchawi tu ni initial setup fee, ambayo ni kama 1.2m (na kuna offer ya internet miezi 11, nafuatilia kama bado ipo)
Tusaidiane hapo kwenye "data ya malipo gb 30"
Kama ni unlimited kwa speed hii na tena unaenda nayo kokote ni big deal.. ila hiyo kauli ya data ya malipo imenichanganya
 
Attachments

  • Screenshot_20251110-104718_Chrome.jpg
    Screenshot_20251110-104718_Chrome.jpg
    143.5 KB · Views: 8
Kwa
Tusaidiane hapo kwenye "data ya malipo gb 30"
Kama ni unlimited kwa speed hii na tena unaenda nayo kokote ni big deal.. ila hiyo kauli ya data ya malipo imenichanganya
Kwa ufupi ukishalipia hiyo 70k, unaweza kutembea kwa mbps hadi 50. Ila kuna kadata limit, kwa sababu mitandao yote inaoperate kwenye falsafa ya FUP (Fair Usage Policy). Ukitumia beyond a given limit unaweza kupata degraded performance, pamoja na kwamba internet itaendelea kuwepo.
 
Back
Top Bottom