Below 40
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 948
- 1,899
Ni kweli ulichoandika sikupingi ni vile tu mimi nilikua na expectations zangu ndio maana niliona vile, Cheki hiyo steins gate you'll never be disappointedSijapenda kabisa walichomfanyia L, mshikaji aliteleza kidogo tu. Wanasema muandishi wa Death Note alitaka kumaliza Anime baada ya kufa L, ila baada ya kuona imekuwa well received wakaamua kuindeleza na kumkabidhi mikoba dogo Near. Na sitaki kuamini kwamba amemdhidi L akili.
Mwisho wa Light Yagami ni well deserved, wanasema usifunge mkataba na shetani, hasa kama ni Shinigami mtoa roho.
Ngoja niitafute hiyo Steins Gate, nasikia nayo ni kali.