Hmm why? Kuna mmatumbi alishikwa na tumbo la kuhara au Isije kuwa wale main characters ni alt ids zao!
Hii slogan yao ya 'Where We Dare To Talk Openly' inabidi ipitishwe JamiiCheck
Tragic!
At first nilijua hizi ID mbili masai dada na Dr. Mariposa ni mtu mmoja
Anyway around here, everyone looks perfect until you get close enough to really know them, cause we all got a side that doesn't match our image. So don't be surprised if someone you deeply respect today ends up...
Mtoa mada ni matokeo tu, chanzo kipo kwenye maadili ya familia. Siku hizi vijana wakiwa na umri mdogo wanaanza kunavigate ulimwengu wa mahusiano kama kuku wa kienyeji bila muongozo wowote, wanajikuta wanafanyiana ubandidu bila kujua madhara yake mbele.
Halafu safari yenyewe Inakuwa kama bahati...
Kwenye social media unaona ukatili wa upande mmoja tu kwa sababu algorithm inakupa content unayo-engage nayo zaidi, hivyo unaona insia nyingine ndiyo chanzo cha tatizo.
Mkuu, ukisema tatizo ni jamii nzima, unaanzia wapi kuibadilisha, na kwa namna gani? Na hilo jukumu ni la nani hasa?
Pia, una mifano halisi ya nchi zilizowahi kuwa kwenye hali kama hii zikafanikiwa kubadilika? Zilitumia njia gani hadi zikapata matokeo?
reports from eastern Tehran province:
19:52 — Target hit in Parchin, a bright flash observed.
19:53 — Explosions heard in Pardis.
19:50 — Damavand-Mosha: fighter jet heard, followed by a heavy explosion.
19:50 — Explosion audible from Rudhen.
19:52 — Gilavand, Damavand: first missile sound...
Right now, 19:45 — a missile was launched from Yazd.
The sound was extremely loud, much louder than previous launches.
19:46 — missile launched from Yazd, very loud, reportedly a heavy ballistic missile.
Missile launched from Yazd.
19:47 — two missiles launched simultaneously from the Shiraz...
#Mashhad:
19:08 – Four to five loud explosions heard; air defense activated briefly afterward
19:10 – Strong explosions and air defense activity in central Mashhad, very loud
19:10 – Air defense sound from Imam Hossein Square
19:05–19:10 – Explosions and air defense reported
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.