Recent content by Bekiri

 1. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Sababu tano za kwanini sitoichagua CHADEMA Oktoba 28

  1. Ilani ya Chadema katika SURA ya 12.1 (a), inakusudia kuuza Nchi kwa kuweka REHANI madini yetu. Jaribio hili litaleta mgogoro mkubwa wa ardhi kati ya Wananchi na watakaopewa madini hayo kwa dhamana wakati wa matumizi ya ardhi kwa kuwa madini yapo chini ya ardhi na wakati wote wa REHANI ardhi...
 2. Bekiri

  Mafanikio ya Muungano wa Serikali mbili

  1. Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kuthamini na kudumisha Muungano wetu ambao ni wa kipekee na kihistoria, uliounganisha nchi mbili zilizokuwa huru za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. 2. Muungano huu ni nguzo ya umoja, mshikamano, amani na utulivu wa wananchi wa pande zote...
 3. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Nitaichagua tena CCM tarehe 28 Oktoba

  Nitapiga KURA ya NDIO kuichagua CCM ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020. Nitaichagua kwa sababu sababu zifuatazo; 1. Ndicho Chama pekee kinacholinga na kutetea Muungano wa Tangangika na Zanzibar. 2. Ndicho chama pekee ambacho Wagombea wake wanapinga hadharani ushoga. 3. Ndicho chama pekee...
 4. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA haijitoshelezi!

  Ilani ya Chadema ni TAKATAKA ya kutupwa dampo. Haiwezi kuongoza hata kijiji. Ilani haina utafiti wowote wala analysis yoyote imeandikwa kama barua ya posa. Inasema tutaboresha barabara bila kueleza tatizo la barabara ni kubwa kwa kiasi gani na wataanza na barabara gani kwa muda gani. Kwa Ilani...
 5. Bekiri

  Siku 45 za kampeni za Urais nimejifunza

  1. Mgombea wa CCM akihubiri Upendo, Umoja, Amani na Mshikamano; Mgombea wa CHADEMA anahubiri mafarakano na utengano baina ya Watanzania wenyewe. 2. Mgombea wa CCM anaeleza namna kusimamia na kuboresha Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar; Mgombea wa CHADEMA anahubiri kuuvunja ndani ya siku...
 6. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Aliyemshauri Lissu baada ya kuadhibiwa na NEC anaweza kuendelea na shughuli za chama amemshauri vibaya

  Imeandikwa, kiburi si maungwana na mtoto mkaidi hawezi kufaidi hadi siku ya Iddi. Tundu Lissu anaingia katika kundi hili kwa kushauriwa vibaya au kukaidi ushauri mzuri. 1. Aliemshauri Lissu kuwa baada ya kuadhibiwa na Kamati ya Maadili ya NEC anaweza kuendelea na shughuli za Chama kama Makam...
 7. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Nitamchagua tena Dkt. Magufuli kwa sababu hizi...

  Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28. Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM. 1. SISI Wananchi wa vijijini huku ndani ndani ambao hatukuwahi kuona balbu ya umeme miaka yote tangu...
 8. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

  1. Tundu Lissu sio mtu mwenye kusema ukweli akausimamia. Kwa kinywa chake anasema, mwaka 2007 aliandika waraka ulioitwa "list of shame" wakati huo akiwa na Dokta Slaa ukasomwa pale Mwembe Yanga. Katika waraka ule Lowassa alitajwa kama fisadi papa (ashakum). Kwa wakati huo Lissu aliamini kuwa...
 9. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anataka Urais wa Tanganyika?

  Tundu Lissu sio muumini wa Muungano wa Serikali mbili. CHADEMA sio waumini wa Muungano wa Serikali mbili. Muulizeni Lissu anataka kuwa Rais wa Muungano upi?? Ni hivi; tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao Lissu na CHADEMA hawautambui, wanasema ni batili, unaopaswa kuvunjika...
 10. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Ijue na itambue Ilai ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 hadi 2025

  Kama ilivyo ada na kawaida kwa vyama vya siasa kuandaa Ilani yao ya uchaguzi yenye vipaumbele na sera wanazoenda kutekeleza baada ya kushinda uchaguzi na kuunda serikali, Chama Cha Mapinduzi kupitia Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imetoa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-25 liyoeleza vipaumbele na...
 11. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

  Mwanzo nilidhani ni utani na hoja hii ingalikufa yenyewe lkn kadili siku zinavyokwenda inazidi kukomaa. Ni kama watu wameamua kujichanganya wenyewe bila kujua. Wanataka tumchague rais kwa sababu amenusurika kifo. Come-on guys, urais wa nchi uheshimiwe usirahisishwe namna hiyo! Watu wa Mungu...
 12. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

  Kitendo cha mtetezi wa maslahi ya mabeberu nchini Tundu Lissu kukubali kupachikwa kifaa kinachonasa taarifa za Tanzania ni kukosa uzalendo. Kifaa hicho alipachikwa mwilini mwake akiwa ughaibuni ambapo alikua akizunguka mataifa mengi eti kuishitaki Tanzania kwa mabeberu. Kwa ufupi hana sifa za...
 13. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Mapinduzi makubwa kwenye sekta ya afya: Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25

  Ili kujenga Taifa makini lenye ustawi na maendeleo, huduma za afya ni muhimu sana ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya bora ili kuwawezesha kushiriki katika shughuli za maendeleo ya nchi. *Sura ya tatu ya Ilani ya CCM, kipengele cha 81 kwenye huduma za Jamii* imeeleza kwa kina mafanikio...
 14. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Hali si shwari ndani ya CCM, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Ally amekemea vikali baadhi ya wanachama wanaopanga kukisaliti chama

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ameeleza kuwa baadhi ya wanasiasa mpaka kuisha kipindi hiki cha Kampeni, wataokota makopo kwa kukosa uelekeo wa siasa. ameyasema hayo leo tarehe 19 Septemba, 2020 katika kikao cha Halmashauri kuu ya wilaya ya Kyerwa...
 15. Bekiri

  Uchaguzi 2020 Orodha ya kamili ya Viti Maalum Ubunge na Udiwani kutolewa baada ya ushiriki wa kampeni - Katibu Mkuu CCM Dkt. Bashiru

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio atateuliwa, isipokuwa kama itadhihirika ushiriki wake wa kampeni haukuwa wa kuridhisha...
Top Bottom