Inshomile kaisiki wee kokubanza maaawee
Katonda akuweki waaitu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshomile kaisiki wee kokubanza maaawee
Wewe unaamini shazi la mikutano ya Jiwe??? Watu wanapiga pesa jombaa si unajua mzunguko wa hela ulivyo mbovu mikoani na nchini kwa ujumla???
Alafu kama mtu kumuona Ali Kiba kwenye fiesta hadi alipie 10,000 Kwa nini asiende kumuona bure kwenye mkutano wa Ccm??
Huwa najiuliza baada ya uhuru tungekua na kiongozi kama huyu cjui taifa lingekuaje??? Yani tungekua kama kongo walahiAcheni hizo Magufuli ana mapungufu yake lakini mna exaggerate mambo sana. Yaani PM amtoe kusini bado umuite mkanda? Watanzania!
Leo umeacha kuwashambulia au sio weweMaccm wapeni semina wagombea wenu wanayoyaongea huku chini ni mambo ya aibu mnoo..
Unakuta Diwani naye anazungumzia mambo ya kununua ndege, sasa Diwani na ndege wapi na wapi.
Labda kama ni diwani wa Kipawa
sana_kuna la nyumbu haliwezi kosenaka,unafikir mbugan wangelikuwa swala tupu simba wasingeweza kukimbizana vile ila wanajipoza kwa manyumbuDuniani bila wajinga haiwezekani. Lazima wajinga muwepo ili dunia iende.
Hahahahaaa!!! Mkuu umenifanya nicheke....Maccm wapeni semina wagombea wenu wanayoyaongea huku chini ni mambo ya aibu mnoo..
Unakuta Diwani naye anazungumzia mambo ya kununua ndege, sasa Diwani na ndege wapi na wapi.
Labda kama ni diwani wa Kipawa
Waunge mkono wahaya na Katibu mkuu wa CCM ni mhaya, umesahau?Umenikumbusha Kabendera na kifo cha mama yake aisee nawaunga mkono Wahaya
waliburuzwaMbona mlijaa sana kwenye mkutano wake alipokuja huko
Katonda akuweki waaitu!
Ni aibu na hasara kubwa sana kwa TaifaThats cheap talk. Huyu ni PhD holder, lakini kauli zake hazina tofauti na mtu wa std seven
Kiweledi huwezi kueleweka kama umejibu hoja kwa maelezo yako haya.Thats cheap talk. Huyu ni PhD holder, lakini kauli zake hazina tofauti na mtu wa std seven
Na tarehe 28 Oktoba atoke na aibu yake!Hawezi kututukana kwa matusi na kejeli zile ili Hali alijua tumepata janga kubwa la tetemeko!! Sisi sio wajinga alikuja na jeuri tumemrudisha kwa jeuri!!