Recent content by Bei Mbaya

  1. Bei Mbaya

    Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    zote hizo size 5.5'' masimu makuubwa
  2. Bei Mbaya

    USHAURI: Mwanaume mwenye huyu mwanamke, mwambie afunge akaunti yake fb kwa usalama wako

    Akifikisha 45 hiyo miguu minyama huanza kudondoka. sura kama binti wa kikenya
  3. Bei Mbaya

    Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    hazina makelele Chief-Mkwawa changamoto kubwa ya one+ ni nini?
  4. Bei Mbaya

    Simu mpya ya CCIT-G7

    warranty? cc Extrovert
  5. Bei Mbaya

    Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

    mwezi wa May au June zinatoka Nokia 3 na Nokia 5. hiyo Nokia 6 inasambazwa China tu ila km band zake zina match na za mitandao ya bongo unaweza jiagizia
  6. Bei Mbaya

    Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

    amezuiwa kujihusisha na mpira wa vilabu na associations na sio personal views kuhusu soka
  7. Bei Mbaya

    Je, CAG Prof. Assad kukagua manunuzi ya ndege za Rais Magufuli July 2017?

    kwenye This Week in Perspective alisema you should match long term assets na long term borrowing na sio cash
  8. Bei Mbaya

    Nampenda sana Mahondaw

    acha wivu, alhamisi karibu ukae siti za mbele. uone kiduku kimevishwa wigi la brazilian
  9. Bei Mbaya

    Ramani za Nyumba za Kitanzania Zinazotumia BATI CHACHE ( 60 - 65 ) na TOFALI CHACHE ( 1400 - 2200 )!

    na kama ni Kimara,Goba au Kifuru hata msingi humalizi
  10. Bei Mbaya

    Hatari ya deni la Taifa lisilolilipika!. Tunakopa kuliko uwezo wa kulipa!.-Ex CAG, Ludovick Utouh

    simple economics 1. Rate ya ukuaji wa deni hautakiwi kuzidi ukuaji uchumi 2. Widen tax base vinginevyo ukusanyaji usiozingatia optimal taxing hunyong'onyesha vyanzo vya mapato na future ni kupungua/kukosa cha kukusanya
  11. Bei Mbaya

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    CR7 the new Inzaghi kuotea hata Ruud Van anasubiri
  12. Bei Mbaya

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    kwa form aliyopo Neymar, ni bora angeikosa hii mechi Messi
  13. Bei Mbaya

    Nampenda sana Mahondaw

    Tofauti ya hii SINEMA na DRAMA za bongo movie au TIMBWILI za uswazi ni hapa werevu wanachangia
  14. Bei Mbaya

    Nampenda sana Mahondaw

    Yaonekana trust ilishatikiswa ndio maana huyo wa ''kuhonga laki5 sio ishu'' huu uzi ume-mpanikisha ukishang'atwa na nyoka,hata jani.....
  15. Bei Mbaya

    Bill O'Reilly out at Fox News!!!!!!

    ni kama yule mbaguzi wa bbc DRIVEN walivyomweka benchi
Back
Top Bottom