Bill O'Reilly out at Fox News!!!!!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
94,012
121,292
ap-oreilly-er-170412_16x9_992.jpg.cf.webp

Ukisikia kulewa sifa basi huyu jamaa ni moja ya mifano bora kabisa!

Mafanikio yake yalimlevya kiasi cha kudhani unyanyasaji wake dhidi ya wanawake hautakuja ku catch up with him.

Too bad and too sad!! He was such a cable ratings powerhouse and now his image and reputation are sullied forever.

He probably thought he was invincible...untouchable!

Bill O’Reilly Is Forced Out at Fox News
 
ni kama yule mbaguzi wa bbc DRIVEN walivyomweka benchi

Ila O'Reilly alilewa sifa aisee.

Nadhani kwa Fox News yeye ndo alikuwa ratings king na kwenye 8pm - 9pm window yeye ndo alikuwa kinara wa cable ratings kwa networks zote.
 
ap-oreilly-er-170412_16x9_992.jpg.cf.webp

Ukisikia kulewa sifa basi huyu jamaa ni moja ya mifano bora kabisa!

Mafanikio yake yalimlevya kiasi cha kudhani unyanyasaji wake dhidi ya wanawake hautakuja ku catch up with him.

Too bad and too sad!! He was such a cable ratings powerhouse and now his image and reputation are sullied forever.

He probably thought he was invincible...untouchable!

Bill O’Reilly Is Forced Out at Fox News
 
Bora wamemuondoa sasa. Sijui hata kama anaona aibu kwa kuendelea na kazi hiyo baada ya yote hayo, bila kujitoa mwenyewe mapema. Ila alikuwa popular sana kama ndio sura ya Fox.
 
Back
Top Bottom