Sijui ni chuo kipi hicho, ila sababu zinaweza kuwa ni nyingi, lakini kabla ya kulalamika mtandaoni, serikali ya wanafunzi hapo chuoni ilifuatilia kujua tatizo limesabashwa na nini?
Ndg, pole!, Ushauri wangu ni kwamba kama madai yako yana uhalisia, basi majibu yote unayo mwenyewe.
Kwanza unahisi matokeo yako ni halali au sio?. Kama ni halali jipange for supp, kama unahisi si halali, fuatilia zaidi (sometimes makosa hutokea).
Pili nafikir vyuoni huwa kuna washauri wa...
Barabarani kuna visa vingi mno ambayo driver yoyote yule ama kwa kuwa makini au kutokuwa makini hukutana navyo. Itoshe kusema kwamba vingi humuimarisha driver with time.
Habari wanajamii!, naomba kufahamishwa kwa wenye uelewa, wakati wa kutafuta ili kununua a steam iron, ni aina gani nzuri hapa bkngo na ni vitu gani vya kuzingatia kabla.
Sent using Jamii Forums mobile app
I guess unataka kuona mapuvu yetu tu hapa. Kweli ulikaa chini ukaona ni muafaka kuleta huo uzi wako hapo?, shame on you!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kupingana nawe, OUT inakufanya usome kuelewa mwenyewe wala si kutafuniwa. Na self discipline na proper time management ndio nguzo kuu. Kwa unayetaka kusoma MPM au course nyingine yoyote, karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jamii!, naomba msaada kujua wapi ni sehemu nzuri kufikia karatu (guest house) ambako ntaweza ku park na gari, bei isizidi 40k.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.