Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
the world shall never end!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe nikiazi mbatata ufuliwe na make wa mtu?.
Nyie ndio wale mnaomba wazazi wafe ili mrisi mali, napendekeza huyo kaka yako akupe nauli usepe na hiyo sim unayoingilia humu akunyang'anye.