Recent content by Bedui la bongo

  1. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa masomo ya QT

    Habari wakuu wanaJF, nahitaji ushauri kwa wajuzi wa jambo hili Mimi niliishia form 2 nilikatiza shule kutokana ugumu wa maisha ya wazazi wangu hivyo sikubahatika kuendelea na masomo nikaingia kwenye utafutaji wa maisha mtaani sasa nahitaji kujiendeleza kupitia hizi shule za Qt. Msaada wangu...
  2. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

    Mkuu kuna kitu umekisema hapo kuwa unapewa simu unaongea na ndugu zako ila unachoongea wanakuwa wanasikiliza sasa mfano kama mtu anaongea kilugha cha kwao labda kihaya kigogo kisukuma wakikusikia nn kinatokea
  3. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Chakula gani unatamani kula kwenye maisha yako?

    Nn hii mkuu
  4. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Chakula gani unatamani kula kwenye maisha yako?

    Hichi chakula kinapikwa nji gan
  5. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Chakula gani unatamani kula kwenye maisha yako?

    Nn mkuu hii
  6. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Chakula gani unatamani kula kwenye maisha yako?

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, kila mtu duniani muda mwingine hutamani kula kitu ambacho hajawahawi kula kutokana na mazingira yalivyo kwake. Mtu mwingine anatamani kula kitu flani sena inashindikana huenda fedha hana au hamna wataalamu wa hicho chakula anachotaka nchi husika...
  7. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Yesu alipogundua NGURUWE ni KICHEFUCHEFU aliwaangamiza

    Hapa mkuu nmekupata mana hata mm huwa natafuta sana hizo picha sijawah kuziona zaidi nazoona ni za kuchora
  8. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

    Ulishawahi kwenda yakakukuta haya unayosema?
  9. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Saluni za kunyoa hasa za Dar kuna umalaya mkubwa unaendelea

    Wapi mkuu nielekeze saloon moja nikajionee mwenyewe mana raha ya ngoma ucheze
  10. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Nimeikuta kwenye mnada Dakawa Morogoro

    Namm nmekujibu tu
  11. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar tunahitaji Muungano wa Serikali moja tu

    Umenena mkuu
  12. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Nimeikuta kwenye mnada Dakawa Morogoro

    Hapana vya kwako
  13. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Nimeikuta kwenye mnada Dakawa Morogoro

    Hapo hapo mkuu
  14. Bedui la bongo

    JamiiForums Tanzania Nimeikuta kwenye mnada Dakawa Morogoro

    Sikuwauliza baada ya kufika nyumbani ndo nikaangalia vzr ndo nikaona
Back
Top Bottom