Nimeikuta kwenye mnada Dakawa Morogoro

Nimeikuta kwenye mnada Dakawa Morogoro

Kuna risiti nmeiona hapa morogoro niliponunua mbuzi sasa ilivyoandika ushuru wa mbuzi 1000 halafu baadae imeandikwa goat 1500 jumla elfu 2500 sasa goat nini na mbuzi nini hapo wakuu sijaelewa.

View attachment 2205905View attachment 2205906
Mbuzi huwa analia Kiswahili "Meeeh" ndio maana bei chini kidogo. Halafu Goat analia kwa Kiingereza "meeeeh"...tofauti inategemea wewe unawasikiliza kwa lugha gani.
 
Back
Top Bottom