Yesu alipogundua NGURUWE ni KICHEFUCHEFU aliwaangamiza

Una ushahid waweza niwekea ushahid wa picha zisizo na kuchorwa za waarabu wakifanya utumwa ,,,,kama uislam n wa waarabu why wao ndio walianza kumpinga mtume
We nani kakwambia yule alikuwa mtume?
 
Ni sahihi yoyote anaemtukana mtume na Allah hukum ya kuuwawa Tu hata kama akitubia na madai mungu hapiganiw ni ya kijinga ,mfano mm nakutana na wewe namtukana babaako au mamaako lazma wewe utachukua action kutetea heshima ya mzaz wako hutosema ngoja nikamuite Baba au mama nyumban aje apigane na wewe
Kwanini usipambane na matatizo yako kwanza? MUNGU ahitaji umpambanie acha ufala.
 
'Mtu hawi najisi kwa kile kiingiacho mwilini mwake bali kitokacho'
Katika midomo yetu ndio unajisi unatoka;
matusi
uongo
fitna
wizi
uasherati/uzinzi
ushirikina.
Tatizo la dini ya wenzetu ipo zaidi ktk mambo ya mwili kuliko roho!
 
Ni sahihi yoyote anaemtukana mtume na Allah hukum ya kuuwawa Tu hata kama akitubia na madai mungu hapiganiw ni ya kijinga ,mfano mm nakutana na wewe namtukana babaako au mamaako lazma wewe utachukua action kutetea heshima ya mzaz wako hutosema ngoja nikamuite Baba au mama nyumban aje apigane na wewe
w..we ni MPUMBAVU. We...w...e ni nguruwe...
 
Huyu mwandishi wa hii mada ni Mwislamu mmoja wa Facebook anaitwa Abdillahsalami Horace ni Moja Kati ya waislamu wajinga sana na hii inanifanya niuzarau uislamu Kwa ajili yake
Huna hakili hata nusu, heri ungekuwa hata mjinga, yaani unauchukia uislamu kwa sababu ya mtu na si kwa facts...?

Tuendelee kuomba tuondokewe na watu wa namna yako, unless yawe ndio matakwa ya Mungu.
 
Wakristo mnasema yesu ni mungu wa tatu. Kwa maana kwamba alikuwepo toka uumbaji. Kwa maana nyingine alishiriki kwenye kuwaumba nguruwe.
Wapi tuna sema ni Mungu wa 3? soma uelewe usiwe unakurupuka kama kile kitu!
Tafuta katekisimu ya kikatoliki na usome sala inaitwa NASADIKI
"Mungu akasema na tumuumbe binadamu kwa mfano wetu" (Unadhani hapa Mungu alikuwa anamwambia nani)
"Tangu mwanzo huyu neno alikuwepo, na huyu neno alikuwa pamoja na Baba milele yote" (Huyu neno ni nani)
Yesu akasema "huyu Ibrahim baba yenu hajakuwepo mie nipo" (Tafakari tena hapa)
Yesu akasema "mimi ni alfa na omega" (wa kwanza na mwisho)
 
Jibu kwa hoja punguza mukari ndugu.
 
S

Sio biblia tu , hata kitabu chao ambacho wamekopi maneo ya biblia nakubadilisha baadhi ya mambo na Mungu anaongea kwa wingi ikimaanisha Yupo katika nafsi zaidi ya moja
 
Ndio maana tunasema haya mambo ya dini ni ya kiutapeli na ya uongo. Mungu hayupo.

Wakristo mnasema yesu ni mungu wa tatu. Kwa maana kwamba alikuwepo toka uumbaji. Kwa maana nyingine alishiriki kwenye kuwaumba nguruwe.

Sasa mungu alieshiriki ama alieumba nguruwe, hakujua kama nguruwe ni wabovu asiwaumbe ama yeye ndie aliewaumba akiwa mbinguni, alipokuja Duniani hakujua kama nguruwe aliowaumba ni kimeo?

Kati ya nguruwe na yesu nani kimeo/miyeyusho? Kwani nguruwe aliomba ajiumbe kua miyeyusho?

Wasabato mkazo wa kutokula nguruwe aliutoa Ellen G. White, ila unajua kua yule mama alikua anakula nguruwe vizuri kabisa? Halafu akaandika vitabu kuwakataza waumini wengine wasile? Ushajiuliza kwa nini yeye alikua anakula halafu anatoa makatazo kwa watu wengine wasile?

Achana na mawazo ya kipumbavu mungu hayupo. Dini ni mambo ya kitapeli.
Safi sanaa mkuu naunga mkono hoja..

Ni dalili nzuri wa africa kujikomboa kifikra

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Wapi tuna sema ni Mungu wa 3? soma uelewe usiwe unakurupuka kama kile kitu!
Tafuta katekisimu ya kikatoliki na usome sala inaitwa NASADIKI
"Mungu akasema na tumuumbe binadamu kwa mfano wetu" (Unadhani hapa Mungu alikuwa anamwambia nani)
"Tangu mwanzo huyu neno alikuwepo, na huyu neno alikuwa pamoja na Baba milele yote" (Huyu neno ni nani)
Yesu akasema "huyu Ibrahim baba yenu hajakuwepo mie nipo" (Tafakari tena hapa)
Yesu akasema "mimi ni alfa na omega" (wa kwanza na mwisho)
Katekisimu inanisaidia nini mimi? Kwamba mimi hapa nisome huo uharo ndio nielewe nini?

Sasa kama biblia yenyewe sielewi unadhani huo uharo wa katekisimu ndio nitauelewa?

Achana na stori za kutunga. Dini ni taasisi za kitapeli.
 
Una ushahid waweza niwekea ushahid wa picha zisizo na kuchorwa za waarabu wakifanya utumwa ,,,,kama uislam n wa waarabu why wao ndio walianza kumpinga mtume
Hapa mkuu nmekupata mana hata mm huwa natafuta sana hizo picha sijawah kuziona zaidi nazoona ni za kuchora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom