Recent content by beda1

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Hii ni hatari
  2. B

    JamiiForums Tanzania Azam Media ni nani aliyetoa maelekezo msioneshe mechi ya kirafiki ya Sudani vs Taifa stars? Haya endeleeni na timu yenu kivyenu vyenu

    Ni ujinga kuilaumu Azam kwajili ya hili. Hii thread haina sifa ya kuwa kwenye jukwaa la great thinkers.
  3. B

    JamiiForums Tanzania What is wrong with African football?

    Jamani tusilaumiane kabisa Black People...........................................Alipokuja Maximo Tanzania kwaajili ya kuinoa Taifa Stars tulimlaumu sana kuwa ameshindwa kutengeneza safu nzuri ya washambuliaji walio na uchu na magoli.Lakini kinachoonekana South kwa sasa kumbe huu ni ugonjwa wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Makubwa yaliyompata jamaa yangu

    Hao wote si waaminifu katika ndoa yao,therefore wakae pamoja wasaidiane...................................... Japo sometimes ni ngumu kuamini senario yako kaka. "Nothing will separate us from the Love of God"
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Tourism

    Una elimu gani? maana siku hizi Tourism ni proffesional kubwa...................................
  6. B

    JamiiForums Tanzania Selelii agoma kurudi Bungeni!?

    Wana Nzega plz nawaomba mrudisheni Mh.Selilii maana ni mmoja wa watu makini katika siasa za bongo zenye fitina kibao,nadhani si wakati wa nyinyi kupokea kanga na fulana oversize kutoka kwa hao wanaojiita ni watetezi wenu.Huyo Dr nadhani ni vizuri akatumia elimu yake kusaidia jamii kwa nyanja...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Who is Salim Ahmed Salim?

    Ni kweli jamaa ana CV nzuri lkn ana udini mwingi...................................................
  8. B

    JamiiForums Tanzania Shibuda apania kugombea dhidi ya JK CCM, ajitoa ghafla

    Is it real this man aliye tia nia tayari kang'atuka? Lakini si mpya si manakumbuka na yule aliyejifanya anatangaza nia jimbo la Mheshimiwa Lowasa nae kang'atuka.Nadhani ni kamtindo kawanasiasa watu tunapoelekea kwenye uchaguzi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Dr. Slaa Bungeni June 16, 2010

    Hao jamaa ndio kawaida yao hilo zengwe tu wala hakuna kingine....................................................
Back
Top Bottom