Mchango wa Dr. Slaa Bungeni June 16, 2010

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,443
113,452
Jamani this is just "amaizing coincidence", Matangazo ya TBC yazimika ghafla wakati Mbunge wa Karatu, Dr. Wilbroad Slaa akiikandia serikali kwa hoja na nondo za kushiba, wakati akitoa maoni ya kambi ya Upinzani kwenye hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu.

Hii just amaizing coincident matangazo hayo ktokea kukatika wakati serikali inapokea michango nyundo, au kuchezea kichapo toka wachangiaji wa kambi ya upinzani, haswa wazungumzaji mahiri wanaochangia na data za kushiba na sio wabwabwajaji tuu.

Naendelea kuuita just amaising coincidence ili kurule out any conspiracy theories zinazowezxa kuibuka kwa msisitizo kuwa hitilafu ya mitambo huweza tokea wakati wowote haijalishi ni nani anayeongea.

Wenye access na Star TV, tujulisheni kama live ya Bunge inaendelea.

===============
UPDATE: 1

Kwa msaada wa Invisible tumepata nakala ya alichokuwa anaongea Dr. Slaa, angalia attachment chini

UPDATE:2
Kumbe waliokata matangazo sio TBC bali ni Kingamuzi kilicho kuwa kinayarusha. Walibahatika kuangalia TBC kupitia antena za kawaida, waliona Mwanzo-Mwisho- Samahani kwa usumbufu.
 

Attachments

  • DrSlaaJune16_2010.doc
    329.3 KB · Views: 373
Slaa is right!

Yani kagusa maeneo mengi sana, much appreciated.

Anasema kuwa kwanini kila taarifa za CAG zote hazifanyiwi kazi? Muda wake umeisha, anasema kuwa HAUNGI MKONO HOJA kwenye bajeti hii. Bahati mbaya muda wake umeisha tu.
 
Something is not happening here!...Why??...and Why not??..Nchi hii ina vituko sana!..tutaupata huo mchango kwa means ingine, sio TBC tu!
 
Ilizima bse waliona anau bendi.
Serikali isiyopenda kukosolewa nasikia budget ya CAG imepunguzwa unadhani kuna seriousness apo?
 
kwa kuwa Dr. Slaa ni member hapa, tunaomba atupatie huo mchango wake nasi tupate kusoma. Natumai Invisible utalifanyia kazi ombi langu kwa Dr. Slaa.
 
Tunaomba atakayeweza kuipata nakala ya hotuba hiyo ailete hapa jamvini tafadhali...
 
Sasa kama kuna technical issue mtaprove vipi? Lawama nyingine ni za mfa maji.
 
hii ni Mara ya kwanza kumtokea Slaa?, nadhani ni zaidi ya mara moja (Japo sina kumbukumbu sahihi ya tarehe), hki ni kipindi kigumu sana kwa serikali ya CCM kurudi madarakani na nguvu ile ya mwanzo hivyo kwa sasa njia yoyote ya kuikosoa serikali ni kuiua CCM, na wanatumia system ya second hand information na wala sio live, hiyo secondhand information itakuja kwenye magazeti na maredio na MATV kwa title mbalimbali za kuconfyuzi jamii, ni Hatari sana kwa kipindi hiki kumsikiliza mtu kama SLaa Live
 
Technical issues kwa TBC ziko very circumstantial

Last year something like this happened too...wakati wa hotuba ya Dr Slaa wakapiga nyundo mawasiliano nadhani walikuwa wanafunika funika ishu za EPA... Technical issues za TBC siku zote ni Political related.... Tz zaidi ya uijuavyo....damn!!!!!!!!!!!
 
Hao jamaa ndio kawaida yao hilo zengwe tu wala hakuna kingine....................................................
 
Kwamba kuna pattern?

Naam Mkuu kuna pattern ambayo ukiifuatilia utaona hizo "technical issues" hutokea pale mbunge wa upinzani anapokuwa anaikandiya Sirikali tena kwa data za uhakika. Hali hii imeshatokea mara nyingi huko nyuma.
 
Mnakumbuka last time ktk BUNGE alikuwa anapiga nyundo kisha TBC wakazima mitambo?

Mnyika akiingia bungeni tutakuwa na nyongeza ya wawakilishi makini

Serikali na Watanzania itambue kuwa hawa wanaowaita wapinzani si wapinzani wa maendeleo bali ni fikra mbadala kwa kuendeleza gurudumu la maendeleo na ustawi wa nchi yetu mbele.

Ninawaunga mkono wapinzani makini yes.
 
Back
Top Bottom