Shibuda apania kugombea dhidi ya JK CCM, ajitoa ghafla

Shibuda apania kugombea dhidi ya JK CCM, ajitoa ghafla

what an a$$hole!...these sort of fake politicians straight to hell...Shibuda who?.he's dead in my memory!
 
Jamaa alikuwa anapata mawengewenge kibao akaamua kujieungua, jamani sisiem mtauana mwaka huu:hail:
 
Huyo ni msanii jamani hana tofauti na akina Kingwendulile au ze komedi,kwanza hapo alipofika lazima amshukuru mungu kutoka mshona viatu mtaani hadi kuwa mbunge si mchezo,huyu bwana anapenda sana ujiko na kujitangaza kuna wakati alileta sokomoko hadi akateremushwa kwenye treni,hata akiongea anatia vijembe kama mwimbaji wa taarabu na ana ile lafudhi ya kimwambao mpaka leo sijui huyu msukuma atakua lini,utoto umemzidi nia yake ni pesa kwani alitegemea wapambe wa JK wangetishika na wamuombe eti akaa pembeni ampishe muungwana,MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO HATUNA SONI
 
Hongera Yahya Husein kwa kazi nzuri ya kuuwa demokrasia ndani ya CCM! thumb up Shibunda kwa usanii wako mi nashauiri tu kwa nini usitoe filamu?
 
nani anapenda unafiki kama huu, hivi kuwadanganya watz kwa kuwapiga changa la macho hivi haoni kama ni kujipunguzia heshima zake?
Kama mwenyekiti wake anafanya utani kwenye ishu nyeti kwa nini na yeye asitanie? Mwacheni bana....!
 
Kuomba CV za wanasiasa wa bongo ni kuwaonea tu.

Kipindi cha uchaguzi 2005 wagombea wa CCM walitoa CV zao yake ilikuwa robo ukurasa wa Daily News, CV yake ikianikwa tutajua yeye ni mtu wa jinsi gani na kwa nini alitangaza hivyo na kwa nini ka U turn.
 
Is it real this man aliye tia nia tayari kang'atuka? Lakini si mpya si manakumbuka na yule aliyejifanya anatangaza nia jimbo la Mheshimiwa Lowasa nae kang'atuka.Nadhani ni kamtindo kawanasiasa watu tunapoelekea kwenye uchaguzi.
 
Kipindi cha uchaguzi 2005 wagombea wa CCM walitoa CV zao yake ilikuwa robo ukurasa wa Daily News, CV yake ikianikwa tutajua yeye ni mtu wa jinsi gani na kwa nini alitangaza hivyo na kwa nini ka U turn.
Hata hao wenye maCV ya kufa mtu wamefanza nini cha maana? Ukijibu hili utagundua huhitaji CV kuwa msanii wa CCM au politiki kwa ujumla..anyone qualifies.
 
Hata hao wenye maCV ya kufa mtu wamefanza nini cha maana? Ukijibu hili utagundua huhitaji CV kuwa msanii wa CCM au politiki kwa ujumla..anyone qualifies.

Mwenye CV hawezi kukuconvince ila atafanikiwa kukuconfuse, asiye na CV imara hawezi vyote kuconvince na kuconfuse ni usanii tu
 
Back
Top Bottom