Recent content by BECKAM

  1. B

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    New business idea ni juu ya kununua dhahabu kwa uchuuzi wa gramu moja,mbili mpaka tatu kwa kuokoteza kwa walanguzi na kwenda kuiunga kwa wataalamu ili kutoa kama ni gramu 12,50 au kg.Na hii inapendeza kufanyika zaidi ukiwa mgodini hukohuko.Mathalani gramu unanunua kwa kiasi cha shilingi 25000,na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Double Entendre (Maana Mara Mbili): Timu Gani Hii Inafungwa tuuu!

    Mwanakijiji your genius :wave:
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa zaidi ya Sh. bilioni 600, Watanzania tupo kimya tu?

    Tpaul watu wananung'unika kwa kuwaita TZ wapumbavu hapa jamvini tena umetusitiri sana mbona Kenyata alimuambia Nyerere anawaongoza wafu tena kipindi icho ni Baba zetu na Mama zetu na mababu zetu du ama kweli nchi hii...hata vijana wa nkurunzinza wanatushinda
  4. B

    JamiiForums Tanzania Leonardo Da-Vinci

    Kiukweli mimi siwezi kumuunga mkono'leonardo davinci' kuwa yupo sahihi, na vilevile siwezi kuwaunga mkono wanaompinga huyu jamaa.Taarifa hizi zote zinaletwa pasipo ushuhuda na ushahidi wa kutosha juu ya pande zote mbili,kwaio ni ngumu kusadiki pande mojawapo ila zina'draw attention" ya kujenga...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Eti kina Saed Kubenea ndo 'think tanks' wa CHADEMA! Lazima CHADEMA ife tu!

    'Uaminifu kazi' katika hali ya kukuweka sawa siku ingine usiongee bila kufanya utafiti Tanzania daima halilimilikiwi na Mbowe kwa kukusaidia tu nenda ofisi ya msajili au nenda habari maelezo ukaulize utajua mmiliki wake ni nani.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta underground wacheza filamu

    0653926296
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vibonzo vya mtume mohamadi mjini texas

    Du hapana kwakeli
  8. B

    JamiiForums Tanzania Matatizo yote haya yanatokea, Je! Kazi ya Mungu ni nini?

    Isamako inabidi urude ukasome upya shule inamana wanaokufa wote hawatii maagizo? na wanaoendelea kuishi ndio wanaotii maagizo?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro awapongeza ACT Wazalendo

    Nn kirefu cha ACT
  10. B

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro awapongeza ACT Wazalendo

    2hery ilo la msingi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaisaidia chakula na madawa Malawi

    Mgonjwa anamsaidia mgonjwa mwenzie sio mbaya lkn..yaani anayeishi kwa msaada naye anagawa msaada du hili nalo liingie guiness world book of recorda
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kikao cha 8, mkutano 19, Bunge la 10, maana yake nini? Soma ufafanuzi wake hapa

    Asante kwa shule ya bure
  13. B

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Chama makini
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bunge: Tundu Lissu is misleading

    Huyo lissu amekwamisha mswada bado mnasema anakurupuka
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

    Nimemuona anajitetea na kauli flani ivi eti bunge limegeuka 'academic school' kwa sababu lissu kila mda ana mchalenji
Back
Top Bottom