Julius Mtatiro awapongeza ACT Wazalendo

Julius Mtatiro awapongeza ACT Wazalendo

1011642_507919319282459_1135756543_n-1.jpg
 
Act ni chama cha kigoma. Ndiomaana juz wauza matunda kwenye vitoroli na urembo mitaani walikuwa adimu. Waha noma. Ni wabishi halafu wanapenda udini.
 
hawa jamaa wanafiki sana,na wamewaghilibu cuf wapate credibility natabiri umoja huu kufa kabla ya june pale chadema watakapolazimisha askofj slaa ndie awe mgombea wakati hana sifa.
stay tunned.

Nenda kagombee wewe sasa kila siku umoja unakufa kila siku unakufa mbona aufi sasa au unakufajee kwa mtizamo wako??
 
Zito pia ndio mmiliki wa hicho chama. Maana ukisoma katiba hakuna wakuhoji mamalaka ya mwenye chama zzk. Ukiona tu hivyo vitu unagundua zzk ni km mfalme Act.
 
HONGERENI ACT - WAZALENDO......
Mwanademokrasia yeyote hapaswi kukasirika pale ambapo chama kipya kinaanza kazi zake huku kikionesha mambo kadha wa kadha mazuri na ya kuigwa na vyama vilivyopo.

Japokuwa chama hiki kipya pia kina mambo lukuki ya kuiga na kujifunza kutoka kwa vyama vikongwe. Kwa uzoefu wangu wa siasa, huwezi kukilinganisha chama hiki kipya na vyama utitiri ambavyo hata ofisi zao hazijulikani ziko wapi na lini wanafanya mkutano mkuu au vikao vya maamuzi.

Ifikie wakati tuwe na sheria ambayo inavilazimu vyama fulani kujifuta moja kwa moja vikishindwa kupata ushindi kiasi fulani kwenye uchaguzi. Nchi inahitaji kuwa na vyama vichache vyenye malengo ya kuleta ushindani wa kweli, Mimi ni muumini wa ushindani na nawakaribisha ACT kwenye ushindani wa kidemokrasia.

Njooni mjenge hoja na tushindanishe sera. Naamini kuwa chama chenu ni platform ya kisiasa kama zilivyo zingine.

J. Mtatiro,
DSM.
[Kwa hiyo mtatiro anaona kauli ya ACT kwamba watahakikisha wan a is am bar at is an CUF mikoa ya Pwani na Kusini ni kujenga demokrasia?
 
hawa jamaa wanafiki sana,na wamewaghilibu cuf wapate credibility natabiri umoja huu kufa kabla ya june pale chadema watakapolazimisha askofj slaa ndie awe mgombea wakati hana sifa.
stay tunned.

ina maana wewe una akili kuliko prof lipumba na maalim seif?
 
Ongeeni sisi tunachapa kazi,Muda si mrefu zinaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumwaga sera ya chama tukiongozwa na kiongozi wa chama ZZK.We gonna take this country back from the so called CCM
 
Mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe, ya UKAWA hayakuhusu na kwa taarifa yako CUF imeafiki maamuzi yote ndani ya UKAWA na hakuna anayeona mwenzie anataka kutumia mgongo wake ili anufaike kwa namna yoyote ile.

Lipumba si anaburuzwa na Mbowe! subiri uone wanachama wa CUF watakavyoamua utashangaa huwajui wana CUF wewe.
 
Yeye aendelee kuwapongeza ACT lakini sisi tunamsubiri SEGEREA ndio atajua CHADEMA na CUF nani ana mtaji jimbo la Segerea.
 
Kwi kwi kwi kwi nyie ndio mnataka watu waamini hivyo, Lipumba ana akili sana anajua anachokifanya ni kwa maslahi ya Tanzania na Watanzania sio kama nyinyi Buku 7 mlionunuliwa ili kuwasaliti Watanzania wenzenu kwa kuwatetea wezi, wahuni, mafisadi, watoa rushwa na wapokea rushwa.

Lipumba si anaburuzwa na Mbowe! subiri uone wanachama wa CUF watakavyoamua utashangaa huwajui wana CUF wewe.
 
Mtatiro Julius ACT inampango wa kuifuta kabisa CUF tanzania bara, na Visiwani, Je unamkakati gani kuhakikisha CUF inakuwa bara?
 
Unajua mm ni mtu mzima hata kama baba yako kakosea huwez kumuadhibu, hoj ninayo taka kuchagia kihoja bal si vioja, katumia ustarabu wahal ya juu ila anajua kabisa hao ni wasilit waliofukuzwa na kuanzisha chama chao kwa manufa ya yao bal si kwa watanzina,
Ukwl anaujua ila kama kiongoz wa upinzan na anaheshimika kauli alizotumia ni za staha hakumkuzwa mtu bal kawafurahisha wao,
Act ni chama cha wahun na mfadhil wake mkuu ni ccm, vijana wanaoeneza propoganda ni vijana wa Lumumba huku wakijifanya ni Bawacha na chama cha wasilit na wahun hawana uongoz makin wenye kujitambua wanadanganywa na ccm,
Ugopa chama kinaundwa na kukataa wapinzan halafu yakuwa wao wanataka kuwa wapinzan tunaona meng mno na tutaona meng, chama cha wahun wasalit hakitafika mbal.
 
Naamini Mtatiro hajui anachopongeza. Anapongeza ACT yaani ACHA CCM TULE?
 
Back
Top Bottom