hivi kwa akili yako unaweza kufanisha taifa la marekani na tz? Nilikuwa sijui kwanini wakenya wanatudharau ila sasa nimeanza kujua. Kumbe ndio mana tukiomba misaada tunanyimwa. Kuna watz wameficha zaidi ya bilioni 99 ulaya. Wizi wa escrow umegharimu taifa zaidi ya bilioni 321, viongozi wanafurah kupokea msaada wa bilioni 147 kutoka kwa wahisani. Shule nyingi za serikali zimefungwa wiki hii hazina chakula lakini cha kushangaza tani elf 10 zimepelekwa malawi kusaidia wenye njaa. Mkoa wa mara wawanchi wananjaa kali kule chakula hamna.