Mgongano wa kimasilahi na kumpa jina baya mbwa kabla ya kutaka kumuua ndicho ninachokiona, hata hivyo nitatoa hukumu yangu nikisikia maelezo ya upande wa pili unasemaje?!
Unachokisema ni kweli ila kwa mazingira yangu nilikuwa naikandamiza mashine kwa uwezo wake wote wa mwisho iliyokuja nao kutoka Japan. Na kwa njia iliyonyooka kisahani kinasoma 180km ila naikopea mpaka 180+kph(181-190)kph, gari ilikuwa mark 2 GX110 kwa kipindi hiko.
Nuclear family (baba,mama&watoto) Vs Extended family (baba,mama,watoto&ndugu wa kutosha).
Hapo kwenye extended ndio balaa tena kama una uwezo mdogo lakini kwenye ukoo wewe ndio unaonekana ndio tajiri, utajua hujui.
Yaani wakati wewe unaweka mipango yako jinsi ya kuendesha familia na uchumi...
Wiki ijayo nenda na nondo za Water Rodney, "How Europe underdeveloped Africa". Ukitoka hapo mpige na ujenzi wa SGR lot 5. Ukitoka hapo muulize kuhusu report ya Mkaguzi wa hesabu za serikali. Akitoka hapo hana hamu na wewe.
Wale wa kampeni ya kataa ndoa hapa washapata pa kukazia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.