Recent content by bebiwilli

  1. B

    JamiiForums Tanzania NIna shida na agent wa forever product

    hello,kama kuna anayeuza products za forever ,pliz naomba tuwasiliane kwa inbox yangu kuna product naihitaji
  2. B

    JamiiForums Tanzania News Alert: UTAPELI UNAENDELEA KWA NJIA ZA SIMU

    hao watu umenikumbusha walikuja hm kujitia wanataka kununua gar bt waliposhtukiwa wakapora cm wakaanza kutuma sms kwa kila no iliyokuwepo kwenye phone bk akijitia muhusika wa cm anaazima ela akaweka namba ya tigo pesa kwa kila anayemwomba ela aitume kupitia namba hiyo.tulipotaka kumtrace jina...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mama yangu adui yangu

    leo c alhamic inaendelea tupe mambo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

    inasemekana ni viagra.coz familia ya marehem imekataa mwili usichunguzwe coz ni aibu tu kwao.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    huna lolote! ushakula mbunye.unatafuta njia ya kumkimbia.mwambie ukweli mlikuwa mnajifurahisha tu.pole dada hii ndio jf.hakunaga humu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Fedha za kusafirisha mizigo na usafiri kwa ajira mpya serikalini

    mhhh mi mbona nilipwa posho ya siku saba pamoja na pesa ya mizigo? n it was 2012. na sio mimi tu wote tulioajiriwa tulilipwa pesa za mizigo though ilichelewa sana.
  7. B

    JamiiForums Tanzania msaada meatu na lindi wapi kwa kwenda

    kwa experienc ya mkoa wa lind na maafisa maendeleo lazima atapelekwa kati ya wilaya 6 za lind,wakimpanga kilwa ni kuzur sana,lind mjin c kubaya,lind vijijin nako c kubaya pako mjin,ruangwa na nachingwea nako ndio panaanza kuendelea,liwale kubaya,mwambie aje lind,kwanza karibu na dar kama mfuko...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Getting to Heaven!

    na uhakika hata wewe mmoja wapo wa waliomuhas mungu.bazaz we.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimegunduwaa..!!

    Nimegundua mabank teller wengi wanaringa kama masecretary cjui y?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maumivu pembeni yatumbo.

    Nimeuliza kwa sababu sehem nilipo hakuna hospital nzur,mpaka nirud twn,so 4the moment nilikuwa nahitaj kujua,cz hapa c ni jf doctors au?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa msichana aliyevunjwa bikira damu hutoka kwa muda gani?

    Kwa kweli mnaboa! Mtu mpaka anaandika kwenye hii jf doct mjue anashida lakini badala ya kujibu maswali yake nyie mnaanzisha topic zenu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maumivu pembeni yatumbo.

    Habari zenu.,Naombeni kujua,maumivu pembeni ya tumbo upande wa kulia,yanasababishwa na nin?je hii ni dalili ya appendex?,
  13. B

    JamiiForums Tanzania Touching Love story" SIKU 30"

    Mhh kistor cha kiphilipino hicho
  14. B

    JamiiForums Tanzania Anataka to-do, But No Love Relationship!!

    Kaka unataka aibu ya kugandiana ikukute? Shauri yako,utabak ningelijua
  15. B

    JamiiForums Tanzania Utrack

    Utrack hawana kiwango maalum cha mishahara inategemea bargain power yako,ila wabaguzi wanawalipa watu wa nje mshahara mkubwa kuliko wazawa, na kama moyo wako mgumu we nenda tu coz huko matusi na makelele kwa bosi ni salamu ya asubuh, lakin kama unakazi yako nakushauri usiache,watu wengi wanaacha...
Back
Top Bottom