Touching Love story" SIKU 30" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Touching Love story" SIKU 30"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zeddicus, Sep 16, 2012.

 1. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  SIKU 30-
  Story ya kugusa Moyo

  Msichana na mvulana wamekaa peke yao kwenye garden moja mjini usiku.

  Mvulana:nafikiri sisi tuna mkosi katika dunia hii tumeachwa nyuma sana...

  Msichana:Ninafikiri hivyo...marafiki zangu wote wana-Boyfriends...sisi peke yetu tumebaki tusio kuwa na wapenzi...

  Mvulana:Yah Mimi hata sijui nini cha kufanya...

  Msichana:Mimi najua..tutacheza mchezo fulani hivi.....

  Mvulana:Mchezo gani?

  Msichana:Nitakuwa Girlfriend wako kwa siku 30,nawe utakuwa boyfriend wangu.

  Mvulana:Mpango mzuri in fact sina vitu vingu vya kufanya mwezi huu....

  Walikubaliana kucheza huu mchezo....

  SIKU YA KWANZA:
  waliangalia filamu pamoja kwa mara ya kwanza..na wote waliguswa na hiyo romantic movie...
  SIKU YA NNE:
  Walienda beach pamoja they had picnic together...they had a quality time together.
  SIKU YA KUMI NA MBILI:
  Mvulana alimwalika msichana kwenye maonyesho ya sarakasi,they ride on a horror house...girl was scared and she touched someone else's hand and they both laughed...
  SIKU YA KUMI NA TANO
  Wakati wakitembea pamoja barabarani Walimuona bibi anayeelezea bahati za watu ..wakamuomba awaelezee future yao pamoja..Bibi akawaambia "wajukuu zangu msipoteze muda wa Maisha yenu...tumieni maisha yenu mkiwa pamoja"..Machozi yakamtoka huyu bibi.
  SIKU YA ISHIRINI:
  Msichana alimwalika mvulana katika kilima na wakiwa pamoja waliona kimondo angani...Girl mumbled something.....
  SIKU YA ISHIRINI NA NANE:
  Wakiwa kwenye basi pamoja na kwa sababu ya ubovu wa barabara msichana alimpiga kiss mvulana kwa bahati mbaya.....
  SIKU YA ISHIRINI NA TISA:SAA TANO NA DAKIKA AROBAINI USIKU;
  Msichna na mvulana wamekaa katika ile bustani walipopangia kucheza huu mchezo.....

  Mvulana:Nimechoka...unahitaji kinywaji chochote?..naenda upande wa pili wa barabara nitakununulia juice.
  Msichana:Naomba niletee juice ya Apple.
  Mvulana:eek:key nisubiri basi nakuja nayo sasa hivi....

  dakika ishirini baadae Mtu mgeni anakuja mbele ya yule Msichana...

  Stranger:Wewe ni rafiki wa yule mvulana?
  Msichana:Ndiyo,kwani kimetokea nini?
  Stranger:Dereva mmoja mlevi kamgonga na gari yupo hospitali ana hali mbaya....

  SAA TANO NA DAKIKA HAMSINI NA SABA USIKU:
  Daktari alitoka nje ya ICU akiwa ameshika juice ya apple na na barua ....

  DAKTARI:Tumeviona hivi kwenye mfuko wa mvulana>>>

  Msichana alisoma barua na ilisomeka hivi;
  kwa hizi siku chache tulizocheza huu mchezo,nimegundua kuwa wewe ni msichana mrembo na you know how to care..i really falling for you...your cherish smile your everything when we played this game....kabla mchezo huu haujaisha ninahitaji uwe mpenzi wangu for the rest of my life...I LOVE YOU....

  Msichana akakunja karatasi ya barua kwa uchungu aka-shout "i dont want you to die..i love you..kumbuka usiku ule tulipoona kimondo angani and i mumbled something that i wish we would be together forever and never end this game.Please don't leave me"..I LOVE YOU...you cannot leave me in this way..

  THEN THE CLOCK STRIKES 12..
  Boy's heart start pumping.....

  THEN IT WAS THE 30TH DAY OF THEIR GAME!!!!!!
   
 2. Nizzo

  Nizzo Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  kistory kizuri kwa kweli...
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sijaelewa
   
 4. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Dah....
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Ka-story ka kizungu mno
   
 6. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante sana kistory kitamu sana kiukweli nimeenjoy sana!
   
 7. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,657
  Likes Received: 8,208
  Trophy Points: 280
  Kuna step hawaku do ze nidful...waliiruka.
  Babu Asprin nsaidie kuitaja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. L

  Lughe Senior Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  It's very interesting love story!
   
 9. b

  bebiwilli Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhh kistor cha kiphilipino hicho
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni kahadithi kazuri lakini kwa sisi wazee nadhani hakatuhusu saana.
   
 11. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mwee.. siku ya kwanza kwenye bustani, siku ya pili Mkuu lodge kibangu..room namba sita.
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mmmh not my taste....
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mentor nafikiri mvulana alisahau kumkagua. Babu Asprin angekuwa hapa angekwishafanya kazi yake ya ukaguzi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,489
  Trophy Points: 280
  Nlitaka kukujibu hommie. Bahati nzuri hommie mwingine kishanijibia.

  Na kwa kauzoefu kangu, siku ya 12 ndo ilitakiwa ukaguzi ufanyike.
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  inawezekana vipi ugongwe na gari then juice isimwagike, maana naona kuna maneno "...daktari akamkabidhi juice ya apple na kikaratasi..."
   
 16. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Nyce story
   
 17. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,657
  Likes Received: 8,208
  Trophy Points: 280
  hAHHAHAH watu8 umeshaambiwa ni story bana...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,657
  Likes Received: 8,208
  Trophy Points: 280
  Hivyoee...mi huwa nafanya day 1, kumbe huwa nakoseaga!??:wacko:
   
 19. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  dah kweli hiyo kiboko basi....
   
 20. Root

  Root JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,854
  Trophy Points: 280
  heheheh story
   
Loading...