Recent content by beb Arna

  1. beb Arna

    JamiiForums Tanzania Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

    Jaman mwenye namba ya Wema anisaidie. Nataka nifanye naye business na si nyengine ni online business inaitwa 4corners najua atasaidia sana kutengeneza team Dah.
  2. beb Arna

    JamiiForums Tanzania Cute…………

    cute mashaallah mwenyezi mungu amlinde na amuweke mbali na sheitwan
  3. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To hell with love, Am Tired of Trying

    You can have me.... if you tired to try
  4. beb Arna

    JamiiForums Tanzania Kupata Kazi Serikalini kwa GPA ya 3.4

    Www watu kibao wamepata ajira wenye GPA ndogo kabisa... Na watu wenye GPA kubwa kuachwa kuajiriwa... Jitahidi kwenye usaili tu...
  5. beb Arna

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa kitengo cha dharura Muhimbili mmenitoa machozi

    Mm niliingia Emergency... Kwa kweli wapo vizuri na nilitaman sana kupata contact za Dr na Nurse aliyenipokea ila nilishindwa... Wanahudumia vzr kwa kweli
  6. beb Arna

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuanza kuota meno ya juu kuna shida yeyote kiafya?

    Hakuna shida. Mm hapa pia nilianza meno ya juu. Mama aliniambia na mtt wa kaka pia alianza na meno ya juu
  7. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke/Mme wako unapenda awe kabila gani?

    Machame boy napenda sana mie ila awe black n mrefu
  8. beb Arna

    JamiiForums Tanzania Party ya wana JamiiForums waishio Dar es Salaam

    Natumai nitawepo aiseeee
  9. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aibu hii wanaume

    Nicheke mie
  10. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kuoa

    Njoo unioe mm
  11. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo Wasiyoyapenda Wanaume Walioko Kwenye Mahusiano/ndoa

    Basi wangu yupo tofauti hapendi nimuulize wafanya nn au wapi hiyo mida hii
  12. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo Wasiyoyapenda Wanaume Walioko Kwenye Mahusiano/ndoa

    Jamani kuna wanaume wengine hawapendi uwaulize na huwa nayasikia sana majibu wanayowapa hao watu wanao uliza.
  13. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To MMU ladies ....

    Unataka kusema hadi hii leo huna girl friend au ndo gia tu.
  14. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niende na kondom au hela?

    Nenda kama unavyofikiria ww ila andaa pesa yakutosha
  15. beb Arna

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo Wasiyoyapenda Wanaume Walioko Kwenye Mahusiano/ndoa

    Wanaume walio wengi Hawapendi kuulizwa upo wapi? wafanya nn?
Back
Top Bottom